"MARINI HASAN MARINI" wa TBC amesahaulika ukuu wa wilaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"MARINI HASAN MARINI" wa TBC amesahaulika ukuu wa wilaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by William Mshumbusi, May 10, 2012.

 1. William Mshumbusi

  William Mshumbusi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 874
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Kwa anavyoongea kwenye tuongee asubui, mijala anavyoipamba selikali. Anasifu kila kitu na asiyeweza kukosoa lolote kuhusu selikali. Na mkosoaji mkubwa wa upinzani.

  Mtu aliyesaidia wajinga wengi kuzidi kuipenda Kipindi cha JAMBO TANZANIA na Welevu wote kuhamia BARAGUMU ya CHANEL TEN.

  Huyu mtu nahuhakika akitema mate lazima ni ya NJANO. Ukimkata damu lazima itakuwa ya KIJANI. Vipi asahaulike? Da pole malini.
   
 2. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ni mzanzibar. mheshimiwa kaona akimchagua wadanganyika watapiga kelele
   
 3. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Labda atapewa u RC.!
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si unajua huyu jamaa anavyoteua asubuhi na jioni,bado kuna wabunge 3 wamebakia huwezi jua huenda Mariiiiiini Hasani Mariiiiiini akawa ndani.tuvute subira
   
 5. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamaa kimeo sana!
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jamani watu wanalia kukosa ukuu wa wilaya,,,, wangekosa ubunge ingekuaje...kwa nini mtu atake kua mkuu wa wilaya leo hii zaidi ya PESA....sioni...
   
 7. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Huyu Marini na kusafiri kote kule na JK nje ya nchi - Amesahaulika!. Namshauri asivunjike moyo, labda atakumbukwa kwenye ukuu wa mkoa. Yeye na swahiba wake Efreymu Kibonde.
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  huyu Marini ni ovyo tu, naona kiburi ni kitu anachojivunia.
   
 9. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kuanzia sasa nawadharau wakuu woote wa wilaya! Kumbe ni wafadhila?.
   
 10. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  tulimkosakosa kichapo jangwani kampeni za 2010,amshukuru mbowe na policcm
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  asubui = asubuhi

  selikali = serikali

  Marini = Marin

  nahuhakika = nna-uhakika

  Welevu = werevu

  malini = Marin
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  nna-uhakika = nina uhakika
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kumbe bwebwedo
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  "nna" ndio Kiswahili sahihi, "nina" ni tusi Kiswahili.
   
 15. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  nna-uhakika= nina uhakika
   
 16. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu William, Mmewasiliana na Marin kujua kama aliahidiwa au alikuwa anautaka huo ukuu wa

  wilaya akatoswa? Au pengine waandishe
   
 17. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Atapata, nadhani JK kapitiwa, jitu linajikomba kama nini, kama vile jike linalotafuta mwanamume. Tunajikomba lakni limezidi tena hadharani bila aibu
   
 18. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kwani uDC ni cheo specific kwa waandishi WA habari?
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Atapewa kazi ingine we subiri
   
 20. S

  Swalihina New Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nahisi rais jk na washauri wake si wajinga ni watu makini wanajuwa wanacho kifanya wametumia vigezo ambavo sisi si waelewa hebu tuweni na subra
   
Loading...