Obama anaunga mkono ndoa za jinsia moja !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama anaunga mkono ndoa za jinsia moja !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mu-Israeli, May 10, 2012.

 1. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Katika hotuba yake aliyoitoa, Obama ameunga mkono ndoa za jinsia moja. Hii imemfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
  Katika hotuba hiyo, Obama alisema:-

  "At a certain point I've just concluded that for me, personally, it is important for me to go ahead and affirm that I think same-sex couples should be able to get married,"

  Obama ambaye huku zamani alikuwa anapinga ndoa za jinsia moja aliongeza na kusema:-

  "I had hesitated on gay marriage, in part, because I thought civil unions would be sufficient," the president said. "I was sensitive to the fact that -- for a lot of people -- that the word marriage is something that provokes very powerful traditions and religious beliefs."

  Source: edition.cnn.com/2012/05/10/politics/obama-same-sex-marriage/index.html?hpt=us_c2

  My take: Haitakuwa rahisi tena kwa nchi zetu za ki-afrika kukataa swala hili, wakati tunategemea misaada toka huko.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  watu wenye mapenzi mema na maumbile tunamtangaza adui namba moja kwa sababu ya nafasi aliyo nayo. Maombi yetu sasa kwa muumba ni kwamba huyu adui ashinwe katika kila alilokusudia kutenda.
  .
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitarudi baadae, ngoja nikapate lunch.
   
 4. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa sana.
  Misaada, visa, masomo, uhusiano wa kimataifa, n.k vyote vitaanza kuwekewa masharti kuhusu ndoa za jinsia moja.

  Si ajabu huko baadaye tukaja kusikia masharti kama yafuatayo:-
  1. mabalozi wote wa nchi za afrika walioko marekani lazima wawe na ndoa za jinsia moja.
  2. watu wote waopeleka application za green card lazima wafunge ndoa za jinsia moja na wamarekani.
  3.wanafunzi wote wanaokwenda kusoma marekani lazima wawe tayari kufunga ndoa za jinsia moja.
  4. wanaotaka visa ya kwenda marekani lazima wawe wanakubaliana na swala la ndoa za jinsia moja.
  .
  . n.k.
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Walahi sasa ni wazi kwamba watu hawatauza wala kununua isipokuwa kwanza wakubaliane na matakwa ya huyu mnyama, na huku kukubaliana nae ni kupokea chapa yake yaani 666.
  Nchi itakayochomoa kwa huyu jamaa, ndio pekee itakayofanikiwa kubaki safi mbele za uumbaji.
  .
   
 6. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Unajua ukiona watu hasa viongozi wanakubaliana na haka kamchezo inabidi tuanze kuwatilia wasiwasi na wao,sasa Mr Barack Husein Obama tukueleweje na wwe!
   
 7. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Najaribu sana kuwaza kama Obama mwenyewe atakubali mabinti zake 'waolewe' na wanawake wenzao !!

  Obama.jpg
   
 8. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  OMG! Find it very troublesome to believe he stated this ...God forbid!!!!
   
 9. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  He has officially aknowledged that he believes in gay 'marriage'. That gay people 'should have 'marriage' rights like other people.
  Hii ndio silaha yake ya uchaguzi wa mwaka huu.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Lakini alikuwa ana support civil unions kwa gay people. Issue ilikuwa marriage tu.
  Wakati mwingine a man is forced to accept things he does not support,...............Source: Kigwangala.
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,129
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Wala sishangai! kwakua JK katika uteuzi wake hivi karibuni tulijionea wenyewe kati ya wale walioteuliwa wabunge viti maalumu.
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I count this the darkest day in the world. Many youths/people are taken emotionally by what happens in the US life style and NOW that the President has done his support publicly?, then this is an international new life style!! ... I am watching!!!
   
 13. N

  Newvision JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Man I think He has lost my support and my admiration . Sina hamu naye tena aondoke W/house
   
 14. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  anatapatapa kwani novemba ndo inakaribia ivo.
   
Loading...