Dr. Chami apigwa chini uwaziri, eti kafanya makubwa jimboni kwake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Chami apigwa chini uwaziri, eti kafanya makubwa jimboni kwake!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndakilawe, May 10, 2012.

 1. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Eti, wakazi wa moshi vijijni wanamlilia Dr. Chami kwa kukosa uwaziri, eti aliwafanyia makubwa kwa kutandaza lami kwenye barabara za jimbo lake zima. Uru, Kibosho, Old Moshi na kwingineko. Waandaa misa ya kumwombea awe na afya njema.
   
 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ajiandae kupoteza jimbo, wachaga hawataki utani!
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​atakua anaaga bila kujijua
   
 4. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu mbona kuna barabara nyingine hata kwa baiskeli huwezi kupita , barabara hiyo ni yakutoka rau madukani hadi kishumundu kwenda materuni, pia rau madukani kwanda mnini kupitia maomboleo. Barabara hizi ni mbaya usipime. Zinalami yatoka kipindi cha mjerumani hadi leo. Nimbaya kweli. Na barabara ya kwenda kibosho kirima kupitia international school, ukifika pale kwa mzee change ndiyo mwisho hasa hichikipindi cha mvua inabidi wazungukie kcmc kupitia chuo cha wanyama pori cha mweka.
  Sasa hizo barabara wanazo msifia nazo ni zipi? Au ni ule usanii wa kule igunga kipindi cha ra
   
 5. C

  Cozcoz Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Also known as Machozi bendi
   
 6. chimpa100

  chimpa100 Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka me niko kibosho anapotokea huyo TO mara 2 wa tz hapa hamna loloye barabara ni molam tu wanamwaga ati kulikua na tetesi raisi angekuja ndo nikaona magreda yametimba kama kawaida yao saiv wamelala eneo moja linaitwa kindi mwaka wa 7 sasa tangu aingie na apewe uwaziri japo hamna lolote huku hamna wa kumlilia labda familia yake na wenyekiti wa kijiji maana wote ni magamba hao
   
Loading...