Hawa Voda vipi!!?

Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,231
1,487
Kuna msg napokea mara kwa mara. Huwa zinasema ''mlio wangu niliochaguwa umewekwa upya''. Mwanzo i did'nt care. Coz sikuwahi kujiunga na hizo huduma. Siku moja nikaona msg ''mlio wako uliochaguwa haujawekwa tena sababu account yako haina credit ya kutusha''. And i was like Whaaaat!!!! Kumbe huwa wanakata pesa. Damn!! Ugly enough, kila nikitaka kuongea na customer care ili wasitishe huu ''wizi'', customer care wako busy. Jamani, nifanye nini sasa????
 
Back
Top Bottom