Kipanya leo!!

Mkuu huyu beleshi analiita beleshi na sio kijiko kikubwa kwa hiyo kwa ccm hawezi kupewa uongozi kwa kusema ukweli !
...Mkuu wa kaya wanaosema ukweli anawakwepa. Hata mjomba Mpoto alimpiga kijembe kuwa jamaa sio msanii bali ana mambo yake tu...
 
ivi kwa nini hii picha hata mtoto wa darasa la msingi anaielewa na kufafanua, then baba riz1 haelewi?
napata ugumu sana kuelewa hapa jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom