Kusema ukweli,Jamii Forums ndio imekuwa kimbilio langu la kila siku! Inaniwezesha kujua yanayoendelea humu nchini kwetu.Sijawahi kukosa kuingia JF kwa siku mbili mfululizo,sasa sijapata picha hizi...
Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na wezi wenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi...
Ni sawa sisi Wanyanyembe, na kwa hakika hakuna awezaye kuleta mabadiliko Tabora au kuamua kukubali mabadiliko kwa faida ya Wanatabora na Watanzania kwa ujumla ila sisi wenyewe, lakini jee, Tabora...
Greater thinker nimeleta mada hii kwa jukwaa kubwa hili wala sikwenda celebrety page ninaheshim busara zenu na weledi wenu kwa ujumla na ikizingatiwa page yenyewe ni habari mchanganyiko kwa hilo...
kwa uteuzi wa January Makamba kuwa naibu waziri, ni katika kutimiza kile alichosema katibu mkuu mstaafu wa magamba kipindi cha uchaguzi mkuu kwamba January Makamba lazima apate uwaziri.......
Ndege ya waziri Mkuu ikiwa imesimama muda si mrefu
Viongozi mbali mbali wakiwa wamejiandaa vema kumpokea Waziri Mkuu Muda huu
Muheshimiwa Mbunge wa viti maalum CCM akiwa na Mheshimiwa Mbunge...
Asalaam Aleikhum wana JF !
Poleni na shughuli za hapa na pale.
Nimetuma thread hii hapa jukwaani ili muone, msome mtafakari na mjadili hili swala.
Nimeikuta kwenye email box yangu tu na si issue...
Katika hali isiyokua ya kawaida madiwani wa halmashauri ya wilaya ya tarime mkoani mara jana kwa kauli moja waligoma kuendelea na mkutano wa baraza la madiwani kupinga hatua ya rais jakaya kikwete...
Ndugu katiba mpya ikija kataa hii miradi ya hawa mafisadi kuna mantiki gani ya kuwa na mwenge unao zunguka Tanzania nzima kwa nchi masikin kama hii
hizi gharama inakula kwetu wadanganyika...
SERIKALI imetangaza kubomoa nyumba zote zilizojengwa ndani ya mita 60 kutoka usawa wa bahari ikiwa ni moja ya mkakati wa kuokoa maeneo oevu, fukwe ambazo zimevamiwa na kuilinda mikoko inayokatwa...
Nimetembelea kwenye page yake pale Facebook nikakuta hiki. "Ona sasa kwa kuwa kuna Sudan kusini na Sudan Kaskazini,basi kuwe na Tanzania na Tanzania Kaskazini?? Kataa ubaguzi,ikatae CHADEMA!"...
Mimi ni mgeni kdg moshi mjini na leo nitakua hapo naomba mnisaidie kwa maelekezo wapi nitapata huduma ya passport size za dakika tatu na huduma ya saloon nzuri ya kike. Naomba msaada tafadhali. Ni...
Ndege mpya ya ATCL kutua Dar leo mchana
Na Mwandishi Wetu
SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania (ATCL) limepata ndege nyingine aina ya Boeing 737-500 ambayo inatarajia...
Kuna hii tabia ya viongozi wa kubwa katika Majeshi Tanzania iwe Magereza, JWTZ, JTK, Uhamiaji, Polisi na wengineo kuingia kwenye siaisa baada ya kustaafu ina maanisha nini?
Na wengine walikuwa...