Wa Tanzania mda umefika kataa miradi ya mafisadi katiba mpya Mantiki ya mwenge

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Ndugu katiba mpya ikija kataa hii miradi ya hawa mafisadi kuna mantiki gani ya kuwa na mwenge unao zunguka Tanzania nzima kwa nchi masikin kama hii
hizi gharama inakula kwetu wadanganyika jihesabie gharama za kuukimbiza huu mwenge mikoa yote Tanzania sherehee ina maana kweli watanzania hatuna priority???
 
Back
Top Bottom