Wakenya wanaosaidiwa na mtoto wa Mzindakaya anayefanya kazi uhamiaji wamhadaa waziri

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Picture 1.jpg Picture 002.jpg Picture 2.jpg Picture 3.jpg Picture 4.jpg Picture 6.jpg Mkenya Antony ngoo na mwanaye Davisi antony ngoo wamekwenda kwa waziri wamambo ya ndani na mtoto wa mzindakaya ambaye anafanya kazi uhamiaji nakufanikiwa kubadili uwamuzi wa waziri aliyetangulia Nahodha aliyetoa uamuzi wachukuliwe hatua kali.baada ya kupitia vielelezo kutoka kijiji wanachosema wamezaliwa cha toloha kata ya kahe. Wamemueleza waziri Nchimbi utata wa uraia walionao ni kutokana na ugomvi wa kibiashara wakati sio kweli. Mzee antony mragha ngoo ni mzaliwa wa undali taveta na wala sio toloha kahe kama anavyodai,nawala familiya ya mwanyika haimtambui.mtoto wake amekutwa na pass mbili za kusafiria moja ya tanzania na moja ya kenya.yakenya amekuwa akiitumia kupelekea madini nje ya nchi za asia.Serikali imeunda tume ya pili kwenda kuchunguza uraia wao wakati uhamiaji arusha na moshi wamesibitisha sio raia watanzania.fedha zetu zinafujwa bure wakati ukweli unajulikana hawa sio raia nimeweka ushaidi hapo juu wote wa vijiji vyote wanavyosema wamezaliwa kuwakana.
 

Attachments

  • Picture 001 001.jpg
    Picture 001 001.jpg
    91.2 KB · Views: 75
  • Picture 7.jpg
    Picture 7.jpg
    299.7 KB · Views: 80
  • Picture 8.jpg
    Picture 8.jpg
    319 KB · Views: 89
  • Picture 9.jpg
    Picture 9.jpg
    310.4 KB · Views: 63
  • Picture 10.jpg
    Picture 10.jpg
    294.5 KB · Views: 73
  • Picture 11.jpg
    Picture 11.jpg
    268.4 KB · Views: 83
Huyu Emanuel Nchimbi ni bogas kabisa. Ni hasara kwa taifa letu. Hivi watu kama hawa uwaziri wanapate? nafuu liwekwe jiwe pale ofisini litakuwa na manufaa kuliko huyu mvivu na mzembe asiye na haya. Halafu eti utasikia anautaka urais...
 
Na Mtoto Mwingine wa Mzindakaya kateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya; Mwingine ni Mbunge; Yaani hakuna Mwananchi wa Tanzania wa kumudu hizo nafasi isipokuwa Mzindakaya's CCM CULT members?

Inasikitisha kweli, CCM tutafika kweli
 
Dr Nchimbi anabadilisha uamuzi wa waziri aliyemtangulia based on what?
 
Huyu Nchimbi ni fisadi mwingine tokea enzi za mtandao na hawa ndio waliofaidi hela za EPA; zaidi ya hayo amefaidika sana na mradi wa ujenzi wa jengo la vijana kwa kupitia mshirika wa mkweree Subash Patel na juzi tu alikuwa Arusha akizindua jengo la wahindi akiwa na huyo huyo Subash Patel!! Hamna kitu hapo huyu ni mwizi mwingine!!
 
Pumbaf kabisa, hawa waache waendelee na wizi wao waliozoea, dawa yao iko jikoni....:spit:
 
............pasipoti zetu zinagawiwa kama njugu kwa wasomali, nigerians and kenyans........masikini nchi yangu..........
 
Back
Top Bottom