Makamo wa Raisi tuombe samahani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamo wa Raisi tuombe samahani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, May 27, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ningeomba makamo wa Raisi Galib Bilal atuombe radhi vijana wa leo kwa kutuita .com.Nikisikia kwa masikio muda mfupi uliopita katika Taarifa ya habari ya ITV mida huu ,alisema vijana waleo .com hawafahamu au hawaifahamu mimea mingi.
  AU ana maana gani kusema kutuita .com ? Huu si uungwana !!
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kimekuuma ehh basi jinyonge.We .com tuu unamjua marijani wewe sasa kwa nini usiitwe hivyo isitoshe ni maneno tu ya msimu.Polee .com
   
 3. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  msamehe mzee wetu.... gaucho.
   
 4. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Hahaha....mwanzoni sikukuelewa. Hahaha......
   
 5. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Makamu wa Raisi hajakosea hata kidogo zaidi alipaswa kuwaita vijana wa leo ni "WASIOJIBIDIHA/WAVIVU" wanaopenda short-cut. wanajua sana stori za ulaya na marekani...stori za Chelsea, Arsenal, Man City wanazijua sana sasa umuite kwenye interview hajua lolote zaidi ya jina lake na chuo alichosomea kama ni IFM, UDSM or UDSM full stop ukimuuliza content ya kozi alizosomea hajui lolote.
  OMBI: Vijana wakomae kujifunza vitu vitakavyowasaidia maishani,kikazi,kimasomo,kibiashara na si vitu visivyo vya muhimu kama mipira wa ulaya, muziki (labda kama unapata kipato kupitia muziki na mipira ya ulaya) ama sivyo ZINDUKENI VIJANA wenzenu wa KENYA, RWANDA, UGANDA wamechangamka sana na maisha kijana wa umri wa miaka 30 kapiga shule ya maana, ana investment ya maana,na ana skills za kuajiriwa kirahisi kuliko mlivyo vijana wengi wa Bongo..
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  meno au?
   
 7. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  alikuwa kashika mkasi?
   
 8. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Vipi kwani leo Jamaa alikuwa anatembelea wapi na Mkasi wake? ... maana nasikia ameletewa mkasi mpya kutoka Marekani kwa ajili ya kukatia utepe
   
 9. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @jf.com hapo je?
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sikutegemea kama makamo wa Raisi anaweza kutumia luga ya aina hile ,si umeona ,halafu kiukura atakuwa ameshawafukuza wapiga kura ,wa ccm.
   
 11. M

  Mkira JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35


  hana haja ya kutuomba samahani kwanza akisema vijana wa ...dot com maanake ni SIFA KUBWA MAANA katika COM unapata kila kitu hata hiyo mimea ila tu VIJANA WENGI SIKU hizi wao ni mamchestor liverpool nk,

  wengi wako ""woolgathering" hivyo chadema ifanye kazi ya ziada kuwabadilisha watz wote. Hawa vijana wa kizungu kwanza hawana haja ya kujua nchi zetu lakini wetu la!
  hebu msikilze huyu mtu Patricl Lumumba wa kenya anavyosema ukweli ni asste muhimu huyu!

  PLO Lumumba launches 'I'm a cooperator' campaign at USIU - YouTube
   
 12. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 13. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuita .com sio kwamba anawatusi ila anawasifia kwa sababu vijana wengi wako .com mambo yao yote hivyo mimea ni vigumu kuijua.
   
 14. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leo utepe ulikuwa kwenye kitabu kipya alichokiandika Yusufu babake na Januari wa Bumbuli.
   
Loading...