Dr. Mary Nagu asifiwa na askofu Ruco

ruston8919

Member
Mar 31, 2012
68
14
jumapili hii MARY NAGU alikuwa mgeni rasmi kwa ajili pia ya kuwaaga wahitimu mbalimbali, katika kumkaribisha ASKOFU ALISEMA MAMA HUYO NI MTU SAFI NA MWADILIFU NA MCHAPA KAZI kwa kuwa amejumuishwa katika baraza jipya la mawaziri wa JK, JE NI KWELI AU ASKOFU ALIKUWA ANAWEKA CHUKU????????????????????????????
 
hivi maaskofu ndio nani katika siasa za tz? kila kitu askofu tu.
 
Sidhani km ni lazima msifia mwanasiasa akija ktk ghafla au kusaidia.Kwanini wasijifunze mpngeza alichokifanya na wa extend hado kwa matendo ya nyuma.Ni uzembe za hutuba za viongozi wetu kwa vile hawapati challenges ktk media, na kwa watu wanaowazunguka.Nilishwahi weka thread ila watu hawakuilewa sana.Ila lengo lilikuwa ktk event km hizi.askofu angeweza msifia kwa alichofanya ktk hili tukio au mradi basi+kumpa moyo kuwa afanye mema na yanayofanana na hayoa u zaidi.
 
jumapili hii MARY NAGU alikuwa mgeni rasmi kwa ajili pia ya kuwaaga wahitimu mbalimbali, katika kumkaribisha ASKOFU ALISEMA MAMA HUYO NI MTU SAFI NA MWADILIFU NA MCHAPA KAZI kwa kuwa amejumuishwa katika baraza jipya la mawaziri wa JK, JE NI KWELI AU ASKOFU ALIKUWA ANAWEKA CHUKU????????????????????????????

hawa ndio wasomi maaskofu tunajigamba nao kwamba sisi tumeenda shule kule wale jamaa wanaocheza bao
 
Ni mbunge wa jimbo jirani, lakini sina ujasiri wa kumsifia, kwa sababu kuna Diwani wa CDM wa kata ya Nangwa katika jimbo lake la Hanang' yuko maabusu kwa zaidi ya mwezi sasa bila dhamana kwa kubambikiwa tuhuma ya kutishia kuua. Alikamatiwa Babati akiwa ametokea kumpigia kampeni mh. J. Nassary, hadi leo yuko maabusu kwa amri ya Mary Nagu. Inasikitisha, sijui anapata wapi ujasiri wa kuingia kanisani kwa kumtendea Mh.diwani hivi. Wanaomsifia hawamfahamu vizuri.
 
jumapili hii MARY NAGU alikuwa mgeni rasmi kwa ajili pia ya kuwaaga wahitimu mbalimbali, katika kumkaribisha ASKOFU ALISEMA MAMA HUYO NI MTU SAFI NA MWADILIFU NA MCHAPA KAZI kwa kuwa amejumuishwa katika baraza jipya la mawaziri wa JK, JE NI KWELI AU ASKOFU ALIKUWA ANAWEKA CHUKU????????????????????????????

swali muhimu: je, ni kweli kuwa wote walioenguliwa ni wachafu?.
 
Back
Top Bottom