Waziri Dr. A. Kigoda & G. Kabaka: Munajua kinachoendelea pale Princeware Africa Ltd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Dr. A. Kigoda & G. Kabaka: Munajua kinachoendelea pale Princeware Africa Ltd?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Visionmark, May 28, 2012.

 1. V

  Visionmark Senior Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Princeware Africa Ltd ni miongoni mwa viwanda vya wahindi vinavyojishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya majumbani vya plastic kikiwa barabara ya Nyerere pale stendi ya Kipawa. Ktk kiwanda hiki wafanyakazi wamekuwa wakipata kila aina ya manyanyaso toka kwa mabosi wao wa kihindi & ni takribani miezi mitano sasa wafanyakazi ktk kiwanda hiki hawajapewa mishahara yao! Tafadhali mawazi wenye dhamana ktk eneo hili husika ni vizuri wakafanyia kazi mgogoro kiwandani hapo!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Fafanua hayao manyanyaso basi ili GT wapate pa kuanzia mjadala na actions, kama ni kuchelewesha mshahara kumbuka kuwa huo ndo wimbo uliozagaa kila pande ya nchi hii, kumbuka walimu wamepanga kugoma baada ya kukaa miaka bila kulipwa stahili zao, usisahau madaktari nao wameanza mchakato wa ku-resume mgomo. Nonspuriousness required.
   
 3. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ...washauri wafanyakazi wafike mapema makao makuu Wizara ya Kazi na Ajira, waulizie IDARA YA USIMAMIZI WA KAZI NA UDUMA YA UKAGUZI watapatiwa ufumbuzi wa haraka sana. tatizo la sisi wafanyakazi wakitanzania hawataki kuumiza vichwa kuzitambua mamlaka muhimu kabla hawajapata matatizo yakitokea ndo malalamiko yanaanza. duh! ni Hatari kwakweli.
   
Loading...