CHADEMA!,CHADEMA!CHADEMA!..... nilikupenda,nakupenda,ntakupen da,kwa moyo wangu wote.

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Habarini wanajamvi!,wapenzi wa CHADEMA,na wasio wapenzi,....

Binafsi ntakua mchoyo nisipo/nikichelewa kusema kwamba "CHADEMA nakupenda kwa moyo wangu wote"

Najua upo kwenye wakati mgumu,wengi wanakubeza huku wakiamini kua wewe nidio kiboko yao,na hakika unawanyima usingizi,hawasemi bali wanakukubali mwoyoni lakini mimi nasema"nakupenda CHADEMA kwa moyo wangu wote"

Ni mbali tumetoka,tumepitia mengi mimi na wewe na bado safari yetu ni ndefu ila si mbali mwaka 2015 si mbali,mi bado naamini wewe ndio tumaini langu jipya,usiogope vikwazo hata ukiyumba sitokuacha ntabaki na wewe daima kwakua nakupenda CHADEMA

Katika safari yetu wapo mamluki,wengine walijishutukia wakakimbia(chitambara-mbeya vijijini),na wengine bado tunao akina shibuda,lakini mimi
 
hapo mapenzi yamepitiliza,hayo yanaitwa mahaba..ni vizuri kupenda lakini,kwenye kupenda tegemea na some disappointments..isije siku moja ikawa cdm nakuchukia nakuchukia
 
chadema-logo.png
 
Hata mimi pia CHADEMA nakupenda hata zaidi ya slaa,mbowe, zitto, lema na mleta thread.
I LOVE CHADEMA NA MUNGU AKULINDE KTK SAFARI YETU YA KUCHUKUA NCHI 2015. AMEN
 
hapo mapenzi yamepitiliza,hayo yanaitwa mahaba..ni vizuri kupenda lakini,kwenye kupenda tegemea na some disappointments..isije siku moja ikawa cdm nakuchukia nakuchukia

mkuu hata msajiri wa vyama akiufuta Chadema leo,bado ntazidi kuipenda
 
Chadema Nakupenda %1oooooooooooooooooooooooooooooooo*10000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000..............................................
 
Back
Top Bottom