Hongera ITV, mmeonyesha Uzalendo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera ITV, mmeonyesha Uzalendo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msambaa mkweli, May 26, 2012.

 1. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ITV pekee, nawapa big up. Tumewapata Live, tunahitaji kujifunza mengi toka chama pekee cha ukweli cha upinzani Tanzania. Tunatengemea kupata mengi live.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,287
  Likes Received: 22,047
  Trophy Points: 280
  Mapinduzi ya kweli hayahitaji haraka, hata CCM imekuwa ikifa kifo cha taratibu, na leo tumeizika rasmi pale Jangwani
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  wamelipwa,haikuwa bure mkuu..
   
 4. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  they are supposed to do business and if it's good business they will surely oblige
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kweli ITV idumu milele,wananch tumetambua mchango wao
   
 6. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kibiashara zaidi, acha kuhusisha biashara na uzalendo, labda kama uzalendo wa matumbo yao.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wamenifurahisha sana ITV na kwa kitendo cha jana kweli kabisa kuna siku watavikwa nishani kwa kuwa sehemu ya mabadiliko mwanana ya nchi hii
   
 8. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hata kama wamelipwa, wameonyesha uzalendo. Ina maana Kama TV hiyo ni ya CCM wangerusha hewani mkutano wa CHADEMA hata Kama wangekuwa wamelipwa? It's nonsensical!
   
 9. wantuzu

  wantuzu Senior Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hii ni runinga ya nyumbani mgoshii !
  mmiriki wake ni chadema kwa asili ...
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wamelipwa mkuu usifikiri walikuwa wanaonyesha bure, they are in business!
   
 11. WANALIZOMBE

  WANALIZOMBE Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna watu humu ndani wanafikiri kwa kutumia masaburi. Hatujadili swala la kulipwa, tunajadili swala la kurusha hewani mkutano wa CHADEMA. TBC kwanini hawakuonyesha wakati ni shirika la walipa kodi? Viva ITV.
   
 12. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sina mchango hapa kwani nyumbani sina radio wala tv nilicho nacho ni haka kalaptop kangu kwa samsung rv 515 na kasimu ka nokia ndo nakatumiaga kuingia jf, kwa hivyo sikufatilia mkutano huo wala sikujua kilichojiri.
   
 13. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 659
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 180
  mmmmh! Nini maana ya uzalendo?
   
 14. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nini maana ya uzalendo? Ingekuwa ni free sawa, wamelipia 2hrs. Uzalendo ni pale wapokubar kurusha matangazo kwa kulipia au kurusha bure? Napata shida kidogo
   
 15. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona umechangia?
   
 16. Ambiente Guru

  Ambiente Guru JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2,275
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hata hivyo quality ya matangazo hapa DSM iliharibiwa na wanaotawala network, labda ndo uzala** wa Ta***. Chenga ziliingizwa kila mara. Nikakumbuka Kipaza sauti cha Bwana Mrema kukabwa koo 1995 wakati wa mdahalo na Mkapa. Hivyo ITV haina budi kulalamika na kulipwa fidia ya poor quality toka Tume ya mawasiliano??. Value for money - malipo halali kulingana na huduma!

  Nazidi kuiipenda Tanzania Yangu
   
Loading...