Msichana akutwa amekufa Ana Inn Guest iliyopo Temeke na kunyofolewa sehemu ya siri....

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Tuko hilo limetokea huko nchini Tanzania katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msichana aliingia na jamaa jana usiku kwenye nyumba hiyo ya wageni kwa nia ya kuchukua chumba na kulala.

Baada ya kufika asubuhi mida ya saa 5 mhudumu wa Guest alipotaka kuingia kwenye chumba walicholala watu hao kwa nia ya kufanya usafi alikutana na tukio hilo la kusikitisha.

Kwani alikuta maiti ya mdada huyo ikiwa imelala huku ikitokwa na damu nyingi sehemu za siri hali iliyofanya apige kelele kuomba msaada kutoka kwa watu wa karibu na guest hiyo. Polisi walipofika na kuchunguza wakakuta kiungo muhimu kwenye uke wa mdada huyo kimekatwa na jamaa kaondoka nacho ( Ni Kisi....) Bracket neno kali naogopa kupewa Ban.

Yasemekana huyo mdada ni mfanyakazi wa Ubungo Bus Terminal. Inasikitisha sana.

Source: Rafiki yangu anayeishi maeneo ya Temeke Jijini Dar ndiye aliyenipa taarifa.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Sasa bongo kumearibika mpaka sehemu nyeti za binadamu zinatumika kwenye mambo ya kishirikina hii ni kuonyesha jinsi gani dunia imefika mwisho.
 
Tupeni jina la marehemu kama yawezekana, ili tumtambue
 
unajua hawa wadada bana sijui wana nini ..kesto lite hizo 4 tu unatepeta
 
Wakome wao siwanafanya biashara ya kuuza uchi??
Jamaa kanunua moja kwa moja kaamua kuondoka nao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom