Msaada kwenye tuta

ABEDNEGO

Senior Member
Aug 20, 2009
109
30
Kwa mwenye kujua palipo na viwanja vya michezo hapa jijini ,Michezo mbali mbali na kuogelea ikiwamo , kwa ajili ya watoto umri wa miaka 6 - 12 with coaching, ningependa watumie muda wa watoto wakiwa likizo baada ya tuition waweze kushiriki kujifunza michezo. Gharama siyo tatizo.Najua JF ni majibu yote,Natanguliza shukurani za dhati.
 
Back
Top Bottom