Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,919
Wakuu licha ya kwamba Kampuni ya simu za mkononi Airtel ni sehemu ya Wateja wa JF lakini huu wizi waliounza sasa hivi is unacceptable in any circumstance.
Kila MwanaJF anayetumia modem ya airtel anafahamu fika ile bundle yetu pendwa ni shilling 2500/= kwa Mb 400 na ndivyo nilivyorecharge siku 3 zilizopita, sasa leo nimeshangazwa kutumiwa meseji na airtel eti kuna punguzo la 90% kwenye Internet!!
Wandugu nisiwachoshe na wala msinichoshe, nimecopy ujumbe wao na ninaupaste hapa, ili kama kuna uwezekano tufanye Boycot airtel. Watanzania sasa tumegeuzwa Mafala na makondoo na hata watu wapumbavu. hili halikubaliki. yaani ongezeko la gharama siku hizi ndio linaitwa punguzo?
Name:
Number: AIRTEL
Content:
SASA okoa hadi 90% ya gharama zako za internet.Jiunge na kifurushi maalum cha sh 2500 tu kwa mwezi na upate MB 200.kujiunga Sms neno INTERNET kwenda 15444
Time: 25/05/2012 14:37:50