sijui kama mmeshawahi kuulitazama hili wadau. Visiwa (tena pemba) vinaibeba cuf huku kwetu. Nawashangaa jinsi wanavyopiga kelele hapo dodoma. Wajue uhalali wao huku kwetu umeshikiliwa na uzi wa...
Amepandishwa mahakama ya mwanzo kujibu tuhuma za kutishia kumuua aliyechuana na Mh. M. Dewji (CCM) katika kukisaka kiti cha ubumge wa Singida Mjini, kamanda Josephat Issango. Ilielezwa mahakamani...
Salma Said,
JUMUIYA ya Mihadhara ya kiislamu (Uamsho) imetoa msimamo mkali dhidi ya Serikali ikisema kuwa haitarudi nyuma katika kudai uhuru wa Zanzibar.
Wakizungumza katika msikiti wa Mbuyuni...
Lesotho Prime Minister Pakalitha Mosisili has resigned after his party failed to secure an outright.
Source hii hapa:Lesotho Prime Minister Pakalitha Mosisili resigns - Times LIVE
Kwa mshangao wangu waziri Nyalandu anaitangazia dunia kuwa Zanzibar iko salama hivyo watalii waendelee kuitembelea Zanziba na serikali itawahakikishia usalama. Je utalii ni suala la Muungano? Je...
CCM mko wapi kuja kujibu mapigo ya wapinzani hasa chama kikuu cha upinzani kwenu CDM. Naona mmebaki jeshi la mtu mmoja mmoja huku mkimwacha Nape peke yake acheze nafasi zote uwanjani, goli kipa...
Na hii ni kutokana na mtandao wao,leo siku ya pili tangu uanze manyokanyoka.Yawezekana isiwe nchi nzima ila kuna maeneo unapatkana lakn kuwasilina shda.Mitandao mingne inasumbua ila voda wamezid...
Heshima kwako Mkuu!
Katika muendelezo wa kuendelea kukubalika kwa CDM wanachama na baadhi ya viongozi wa CUF kata ya kwemashai na Ngulwi jimbo la Lushoto wametangaza kujiunga na CDM wiki ijayo...
Ninaona kuna haja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mazungumzo na Rais wa visiwa vya Comoro kwa madhumuni ya kuunganisha nchi hizi mbili zinazoshabihiana na kushirikiana...
Baada ya kutimiza wajibu wenu maeneo yenu ya kaz.
Nawaomba vijana kwa wazee ku2mia uelewa wenu akili zenu,vidato vyenu kuikomboa tanzania.2pate tanzania ambapo hakuna matabaka,2pate tanzania...
Wiki iliyopita nikitokea Dar kwenda mkoani,basi liliingia kituo cha kibaha nikatoa alfu nikamwambia jamaa aliyekuwa dirishani anichukulie maji ya uhai ya mia saba,muuza maji akasema maji...
Na Mwandishi Maalum Mwanahalisi - Imechapwa 23 May 2012
Uchambuzi
HIVI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza vipi kujifananisha na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kulinda na...
Mheshimiwa Chiku Abwao amekuwa kwenye Ziara ya kutembelea vijijini kuhamasisha Uhai wa CHADEMA na kuelezea umuhimu wa kuhesabiwa kwenye Sensa inayotarajiwa kufanyika mwaka huu. Kwenye mikutano...
nashindwa kumuelewa huyu sheikh anaye wadanganya wanzanzibar kuhusu mambo ya uchumi, hajui kwamba bakhresa kafuata soko kubwa la ngano yake nk, hata amerika hawaiachi china maana ni soko kubwa na...
Kuona Watanganyika Wenzetu wanavyo nyanyaswa huko Zenjibar. na Serikali Kutowachukulia Hatua watu wanaochoma Makanisa n.k. Inshort Muungano umekuwa una tuuminza Tanganyika.