Tuungane na comoro! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuungane na comoro!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by leroy, May 30, 2012.

 1. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Ninaona kuna haja kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya mazungumzo na Rais wa visiwa vya Comoro kwa madhumuni ya kuunganisha nchi hizi mbili zinazoshabihiana na kushirikiana kiutamaduni, kiuchumi, kijamii na kisiasa.
  Nawasilisha.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo sio ushauri mzuri kwani hao mabwana wakiunguna si ndio watachinjana wote hata kabla ya mwezi kuisha?! Waache tu watuonee ss watanganyika(Azania) ila kwao hao wacomoro watamalizana maana huwa hakuna mwarabu anayekubali kujishusha.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tuungane ili?
   
 4. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo ndo makanisa yatachomwa ile mbayaaaaaaaaaaaa
   
 5. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Hapo kwenye Red HUJASOMEKA
   
 6. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Wa-comoro wapole sana, sio kama ndugu zako Wana-uamsho!!!
   
 7. m

  mhondo JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Zanzibar tu wanatusumbua.
   
 8. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  ​Tuungane ili kudumisha undugu, kukuza SOKO, kupanua himaya, na sababu nyingine za kiuchumi.
   
 9. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60
  Wanatusumbua kwa sababu tumekuwa tukiwachekea sana, wale dawa yao maji washawasha. Baada ya vifaru kuwasili umesikia chokochoko tena?
   
 10. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,805
  Likes Received: 2,577
  Trophy Points: 280
  Siku nyingi mayyote wamekataa utawala wa mswahili, wamesema kwa kauli moja afadhali mkolononi mfaransa. Visiwa viwili vya Grand comore na Anjoun ambavo ni huru choka mbaya ukilingnisha na mayyotte na ndio maana battalion moja tu ya Jwtz imeweza kutuliza uasi. Majaliwa ya visiwa hivi vya Commoro makes compelling case for re colonization of a majority of African Nations. Karume was spot on when he said Uhuru zuia hatujawa tayari kujitawala.
   
 11. a

  abu alfauzaan Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh!,
  kaunganeni na kongo uko nd mnaoendana,
  mctake kuwafisidi wakomoro,msha2malza wazanzbar,sasa mnawatafuta wakomoro,.
  wanyama bwana,hamuach unyama wenu
   
 12. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,337
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  kwani sisi hatuwezi kuishi peke yetu hadi tuungane na wengine!!!tuvunje zanzibar tubaki kama tulivyo,mbona kuna familia zina baba au mama pekee na zina survive!!!hata sisi tutasurvive bila kuungana na kaji-nchi!
   
 13. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 834
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 60

  Tumewamaliza kwa lipi nyie ambao mmeshindwa kwa miaka 50 kufua umeme wenu, ninyi hamuishi kulalamika kuwa hamtimiziwi ilhali mmejawa uvivu.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,318
  Likes Received: 19,478
  Trophy Points: 280
  njooni mumchukue bilal na mwinyi basii..mbona wamejazana huku bara ..wachukueni watu wenu wanatunyonya huku
   
Loading...