Nasema na nyie wasomi na waelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nasema na nyie wasomi na waelewa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bia, May 30, 2012.

 1. b

  bia JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kutimiza wajibu wenu maeneo yenu ya kaz.
  Nawaomba vijana kwa wazee ku2mia uelewa wenu akili zenu,vidato vyenu kuikomboa tanzania.2pate tanzania ambapo hakuna matabaka,2pate tanzania ambayo hata watoto wa rais,mawaziri,maofisa na wakurugenz watawapeleka watoto wao shule za kata ambapo watakuta huduma hzo wapatazo private.2pate tz ambapo kiwango cha chin cha mshahara ni laki 6 na cha juu milion mbili.2pate tanzania ambapo private sector zinaongozwa na katiba hata awe kibarua apate kiwango cha chni laki 3 na nusu.2pate tz ambayo inazuia baadh ya bidhaa kutoka nje ili kukuza viwanda vya ndani.2pate tanzania ambayo elimu inakua practical zaid na si nadharia.2pate tz ambayo vijana 2nabadilisha mawazo ya kisayans mitandaon bdala ya siasa
   
 2. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35


  Inabidi kuanza na ngazi ya mtu mmoja mmoja, familia, then inaendelea hadi taifa, siyo suala la siku moja, watanzania waliowengi wanahitaji mapinduzi ya fikra, kuanzia kuwa wakweli na wawazi katika utekelezaji wa majuku yao.
  Chukua mfano mdogo tu, nani anayenunua laptop yako ikiibiwa, huenda ikawa ni rafiki yako, au mtu ambaye amesoma kabisa na anaelewa kabisa hii laptop ni ya wizi lakini tafurahi kwa vile tu anaipata kwa dollar 200 badala ya 1000, na mifano mingine mingi. Ili yote unayoyasema yafanyike na kufanikiwa tunahitaji wote kubadilika kifikra, mitazamo utendaji n.k

  Ni vigumu kuondoka matabaka kwa kutegemea serikali ifanye hivyo, mabadiliko ya kweli yanaaza na mimi na wewe katika ngazi ya mtu, familia then jamii kwa ujumla. Hivi sasa ubinafsi unazidi kuchukua nafasi Tanzania. Nenda katika vibanda vya kuuza bidahaa mbalimbali unaambiwa unataka original au fake au unataka na risiti au bila risiti, unakuwa wa kwanza kuchukua fake(bei chee, bila risiti-unahujumu uchumi) mifano iko mingi.
   
 3. b

  bia JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo sahihi kabisa kamanda any change begins wth me,and am changed.kwa kwel bs 2tutumie upeo we2 kuwapa wa2 wengne pia ukomboz mana vijijin kuna uelewa na vitisho sana kwa m2 mwenye dalili ya kubadilika..wazee wanatutaza kwa matumai wadau we have 2 change th Tz we want
   
 4. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ngoja tuvunje Muungano kwanza, tunaitaka heshima ya Tanganyika irudi kwanza, watanganyika wanaamini binadamu wote ni ndugu na wana haki sawa ya kuishi na kutumia rasilimali zao kwa usawa, hawana ubaguzi, wanaheshimiana kila mmoja na dini yake, ukabila kwao ni dhambi, ngoja kwanza hiki kirusi cha Muungano kitoweke.
   
 5. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  tusubirie utawala wa Mungu ambapo mambo hayo yanayotutenganisha hayatakuwapo
   
Loading...