Vodacom wawaombe radhi watanzania.

Senator p

JF-Expert Member
Oct 27, 2011
282
43
Na hii ni kutokana na mtandao wao,leo siku ya pili tangu uanze manyokanyoka.Yawezekana isiwe nchi nzima ila kuna maeneo unapatkana lakn kuwasilina shda.Mitandao mingne inasumbua ila voda wamezid na wawaambie 7babu,wamefanya biashara zetu kukwama.
Nawasilisha.
 
Ndiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiooooooooooooooooooooooooooo
mara unaambiwa eti unrecognised number mara nini wafanye hivyo haraka mi nasubiri ala
dili zinakufa kwa sababu ya mawasiliano kuwa ya kisanii
 
Mi nimtumiaji mzuri wa MPESA,kwa siku natuma mara 5 au zaidi,kila siku nikituma napokea ujumbe kuwa umeingia kwenye promotion,lakini sijawahi sikia hao washindi wa promotion ya M-PESA wakitangazwa,au nalo ni changa la macho?
 
wameanza fulia, ccm imesema haitaki hela chafu tena, safari imewadia
 
Mi kwangu iko safi sana, jitahidini muwe mnatumia simu original, we unamiliki mchina halafu unalaumu vodacom!
 
nilinunua umeme toka 15 april mpaka leo sijapata. Kila nikipiga customer care naambiwa system ziko down mpaka nimekoma!
 
Kumbe sio mimi mwenyewe? Niko boda,Holili(Moshi),huku mtandao wa voda ni matatizo matupu. Unaselect network manualy,ila baada ya dakika chache inakuja safaricom.Vodacom mtembelee na huku.
 
Sasa kwanini uweke manual badala ya automatic. Ukiwa mpakani hyo ni kawaida ina chagua the nearest.
Kumbe sio mimi mwenyewe? Niko boda,Holili(Moshi),huku mtandao wa voda ni matatizo matupu. Unaselect network manualy,ila baada ya dakika chache inakuja safaricom.Vodacom mtembelee na huku.
 
Mi kwangu iko safi sana, jitahidini muwe mnatumia simu original, we unamiliki mchina halafu unalaumu vodacom!

wewe n gamba? kwa hyo hta vda mtandao wa kichna,cm zangu made 4m moja muhnd na nyngne hunguy,mbna mitandao mingne ipo kawaida,co 2 cm hta upande wa mordem vilevle
 
Sasa kwani Vodacom ndo wanatoa umeme au Tanesco ndo wanatoa umeme?

Ni kwa kununua kupitia M-pesa huduma ambayo vodacom wanaitoa ,hawa jamaa services zoa substandard kwa sana,wameshindwa gharama za ku upgrade mitandao yao iendane na kasi ya kuongezeka wateja.
 
Mtandao wa voda unahakikisha magwanda wote wanapata chafya ya mawasiliano.
 
Hata bidhaa zilizo kwenye matangazo yao ni utapeli mtupu.
Vodafone 555 blue ni wizi mwingine wa vodacom, wizi ulioenea nchi nzima.
 
Back
Top Bottom