Viongozi wa Smz Wazuru Israil kwa Ziara ya kikazi.

Huyo mwingine Mohamed Abood anazurura tu badala ya kutanzua mtanzuko wa uchomaji makanisa.
 
Kama nakumbuka vizuri, Zanzibar huru, alituambia hapa kuwa kuna team ilienda Israel kupata mafunzo ya namna ya kukabiliana na uamsho! Hii ndiyo team yenyewe?
 
Back
Top Bottom