Shehena ya bangi.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Polisi Arusha leo alfajiri wamekamata lori likiwa na magunia 50 ya bangi mpakani wa kenya na TZ.
MAGUNIAYABANGI3.JPG
 
Elezea /fafanua zaidi ili tuweze kuchangi. Lilikuwa linaingia Tanzania au lilikuwa linaenda Kenya. BTW, nadhani walishindana dau.......
 
Elezea /fafanua zaidi ili tuweze kuchangi. Lilikuwa linaingia Tanzania au lilikuwa linaenda Kenya. BTW, nadhani walishindana dau.......
Gama Lilikuwa lina enda kenya.Hata mimi naamini walishindwana dau maana mzigo huu ni mkubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom