Issango Kuuwawa na diwani wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issango Kuuwawa na diwani wa CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlitika, May 30, 2012.

 1. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Amepandishwa mahakama ya mwanzo kujibu tuhuma za kutishia kumuua aliyechuana na Mh. M. Dewji (CCM) katika kukisaka kiti cha ubumge wa Singida Mjini, kamanda Josephat Issango. Ilielezwa mahakamani hapo kuwa diwani huyo wa kata ya Unyamikumbi (CCM) mjini Singida alimtumia ujumbe wa simu ya mkononi (SMS) mlalamikaji kuwa atamkata kichwa na kummeza. Mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana ya sh. 300,000

  Hata hivyo chanzo cha habari hakikueleza sababu za diwa kuahidi kuchukua hatua hiyo kali dhidi ya maisha na uhai wa Isango.

  Issango ameonekana siku zote akiwanyima usingizi viongozi na wafuasi wa CCM mjini Singida kwa hoja zake majukwaani na katika makala mbalimbali kwenye magazeti.

  Habari hii imeandikwa pia kwe Nipashe ya tarehe 30/5/2012
   
 2. C

  Capitalist Senior Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni vitisho tu hamna kitu hapo Issango usiogope.
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kweli CCM wana uamsho.
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Asiogope hawatawezq.

  Kama wauaji wa Mwenyekiti wa CDM kata ya Usa-River wamedakwa, hata hao watazuilika
   
Loading...