CCM Mko wapi? Mbona hamtokei ili kujibu mapigo? Naona banda linachakazwa na mchwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Mko wapi? Mbona hamtokei ili kujibu mapigo? Naona banda linachakazwa na mchwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jumakidogo, May 30, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  CCM mko wapi kuja kujibu mapigo ya wapinzani hasa chama kikuu cha upinzani kwenu CDM. Naona mmebaki jeshi la mtu mmoja mmoja huku mkimwacha Nape peke yake acheze nafasi zote uwanjani, goli kipa yeye! Beki yeye, kiungo mkabaji yeye, kiungo mshambuliaji yeye, refari yeye, kualika mashabiki yeye! Yote katika mechi moja tu. Pumzika kaka, au chama ndiyo mwisho wake umewadia? Manake naona pambano lenu na CDM ni sawa na kumpambanisha Tyson na Maneno Osward.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ,,,teh!,,Labda wanakula timing ya kumchinja kobe!,,,Ila kiukweli naona kama game ni ya upande mmoja.
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nasikia Nape anakuja na Operesheni Vua Gamba Vaa Uzalendo ha ha ha Magamba yamewashinda kwenye Vikao sasa mnayatengezea kauli za Kwenye Kanga
   
Loading...