Pr. Shivji katiba tune ITV sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pr. Shivji katiba tune ITV sasa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Welu, May 30, 2012.

 1. W

  Welu JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mlio karibu na ITV msikilizeni anatoa maada ihusuyo katiba.
   
 2. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama kawa na sasa anaelezea katiba ya zanzibar uhalali wake..
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 842
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Mimi huwa simsikilizi Shivji kwa sababu yeye ni Mjamaa na mimi ni Bepari.
   
 4. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha injinia Ngwegwe, anapinga sana tabia ya kujifungia nakufikiri ndani ya box. Yaani ukiwa injinia basi hutaki kusikia kabisa habari ya uchumi!

  Specialization is the other side of ignorance.
   
 5. J

  Juma123 Senior Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Miaka ya 77, CCM ilivyoanzailiitwa CHAMA CHA MALODI/CHUKUA CHAKO MAPEMA!
   
 6. n

  nyamvemve Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo poa niko namfatilia.
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  uamsho wanatakiwa kuangalia hii kitu...chakula ya akili...
   
 8. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 842
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60

  Sitaki kwa sababu naona watanichokomoa tu, wacha nibaki ndani ya Boksi.
   
 9. A

  August JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  hao shuleless unafikiri wanaelewa hivyo, wao kwanza uislamu hatakama anaye waambia hivyo ni mamuma au ni levi, muuza unga mbwia unga ndio interest yao.
   
 10. k

  kicha JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  ngoja akianza kuusema ukweli uone wanafiki watavomruka sku zote wanataka aongee yanayokufurahisheni ila nakuamini shivji endelea kutupa elimu
   
Loading...