Hii ya itv dhidi ya uamsho imenishangaza....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya itv dhidi ya uamsho imenishangaza....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oyaoya, Jun 2, 2012.

 1. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu Salaam.
  ITV kwny taarifa ya habari ya saa 12 asbh ya leo Wametoa picha ya shehe Farid aliyotangaza tarehe 26 ndo siku ya maandamano kwa maelezo kuwa UAMSHO wameendelea kushikilia msimamo wao hadi kieleweke, tofauti na ile waliyotuonesha jana usiku wakijibu baadhi ya hoja za Dr. Shein!

  My take:
  Haikuwa sahihi kuhusianisha hotuba ya kabla ya maandamano na ile ya baada kwa kuwa inaendelea kuikandamiza jumuiya hiyo ambayo ilikanusha kujihusisha na baadhi ya shutuma zilizotolewa dhidi yao!
   
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  napita tu...
   
 3. J

  Jovegg Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  So what?
   
 4. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kilichokuwa sahihi kwako ni hayo Makanisa yanayochomwa tangu mwaka 2001. Mkisikia wakubwa zenu tunawaambia acheni hizi mada muwe mnaacha, msifikiri hatuna ya kuongea, embu uwe unatumia akili zaidi unapokanywa jamani khaaaaaaa!!!!!!!
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  fanya compare and contrast ya kilichotangazwa na ITV dhidi ya kilichooneshwa na aljaazira, ZTV na TV iman kisha tuone usahihi uko wapi.
   
 6. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu kinachkera ni namna vyombo vya habari vinavyotumika vibaya kuinadi jumuiya hiyo! Ukiwaskiliza kwa makini utagundua hekima na busara waliyo nayo hao jamaa!
  Kama vile usivyoweza kukubaliana kuwa hawakuhusika na uchomaji wa makanisa, ndiyo mwanya huo unaotumiwa na vyombo vya habari kuendelea kuichafua!
   
 7. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Peleka malalamiko yako shirikisho la habari kabla ya miezi 6.
   
 8. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Narudia tena kukuomba uache hizi habari hazikufikishi popote. Hata ukijiangalia wewe mwenyewe bado umeegemea upande mmoja.

  Kama kweli unachukia jinsi vyombo vingine vya habari vinavyoripoti simama wewe na utuambie hapo ni nani kakosea na umefanya utafiti upi ikiwa ni kuongea na hao wazanzibar na unamkemea nani. Acha kubishana na third part, just go straight and come with the solution acha kutugawanya kwa imani zetu bana.

  Wewe umekaa kwenye sofa unawacheki kwenye Luninga alafu unataka kutushawishi kwa hiyo inch 18 yako yenye Chogo ndani ya nyumba ya kupanga. Jaribu kuvaa viatu vya wale wanaochomewa kule alafu uifungue hiyo TV yako ndo ujue nini wenzio tunafikiria

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  NIMEJISAHAU NIKAINGIA MSIKITINI NA MBWA DU :flypig:
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unatamani uwe karibu na kanumba ehh.
   
 11. salito

  salito JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  chenga bado..
   
 12. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Noted. Thanks
   
 13. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wasiojua wakajifanya wanajua na hawajui kama hawajui...waache waangamie.

  This post has been deleted by oyaoya
   
Loading...