Cdm -saut mwanza kufunika leo ktk kata kasamwa-geita. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cdm -saut mwanza kufunika leo ktk kata kasamwa-geita.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OMUSILANGA, Jun 2, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu kama nilivyo wajuza jana kuwa leo makamanda wapatao 50 toka chuo kikuu cha saut mwanza leo watahudhuria na kuhutubia mkutano utakao ongozwa na katibu wilaya geita,ndgu Rogerz ,diwani kata ya kasamwa pamoja na makamanda wengine. Hii ni mikakati yao waliyo jipangia ya kupeleka ujumbe wa ukombozi wa kuipigania Tanzania tuitakayo katka maeneo ya pembezoni. Zaidi tutaendelea kupeana yatakayo kuwa yanajiri. M4C FOREVER, MPAKA KIELEWEKE.
   
 2. waziri/saidi

  waziri/saidi Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thats gud,huko interior wengi hawajajua ukombozi kabisa so work on it men,M4C
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nguvu na raslimali zenu katu hazitapotea bure M4C DAIMA
   
 4. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Saut naikubal sana, chuo kiko huru, kinampa mwanafunz nafac ya ku-share opinions with the entire society bip up makamanda!
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hiki chuo cha kanisa katoliki naona kinataka kuwa kama chama cha siasa.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,789
  Likes Received: 36,804
  Trophy Points: 280
  Juzi si mliizinisha siasa vyuoni mlipo fanya uzinduzi wa blog yenu pale DOM?
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huko kusini Mtwara ni wakatoliki wamejaa huko? mwaka huu tunawavunja mbavu zote
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Safi sana mpaka 2015 mambo yatakuwa safi.
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mkuki kwa nguruwe si munamkoa wa vyuo kwenye CC ya CCM au vipi bwana
   
Loading...