Nisaidieni hili la TCU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni hili la TCU!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by combra, Jun 2, 2012.

 1. combra

  combra Senior Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mwenye data ya vyuo hivi hata kuhusu ada yao na kiasi cha mkopo walicho pangiwa na board ya mikopo naomba anisaidie kwa sim yangu ndogo haiwezi download pdf plz.vyuo vyenyewe ni _TIA,MUCOS,IAA,CBE DAR,UDOM,SAUT, naTUMAIN IRINGA,especial kwenye course ya procurement plz wadau nisaidieni.Nataka kujaza form ya TCU kipengeli cha ada na loan ndo kimenikwamisha.msada wenu nautegemea
   
 2. B

  Buto JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kukusaidiatu Tia-ada ni 1.2M plus reg&nacte fees ni 1.25M. Kuhusu HESLB sijui kitu.Kuna dogo nilimpeleka hapo Tia
   
 3. combra

  combra Senior Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thanks!
   
Loading...