Kenya Watangaza ni hatari watalii kwenda Zanzibar

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,023
18,563
Kwa mara nyingine Kenya imetupiga changa la macho. Wametumia uchomaji wa makanisa Zanzibar kama fursa ya kuwashawishi watalii wasiende Zanzibar ili wabaki Kenya. Ikumbukwe kwamba makanisa yamechomwa Zanzibar wakati ambao magaidi wamelipua mabomu Kenya, lakini hili hawakuliona, na wakasingizia ilikuwa ni hitilafu ya umeme, sio mabomu.

Siku zote nimesema Kenya ni nchi ambayo hatupaswi kuwaamini sana, ukizingatia walikuwa chanzo cha kuvunjika Jumuia ya Afrika Mashariki hapo 1978, na wakasherehekea kuvunjika kwa kunywa champagne waziwazi.

Soma hapa chini.

Wizara ya Maliasili na Utalii juzi ililazimika kutoa tamko la kusahihisha habari za upotoshaji ambazo ziliandikwa na vyombo vya habari vya Kenya na kueleza kuwa Zanzibar kumechafuka na kwa maana hiyo siyo salama kutembelewa na watalii. Hatua hii ni ya kusafisha hali ya hewa ambayo imechafuliwa na vyombo hivyo kwa nia ya ama kuwatisha watalii waliokuwa wanapanga kutembelea visiwa hivyo, au ambao tayari walikuwa njiani kuelekea Zanzibar.

Source: IPPmedia
 
Wao Bomu lililipuka kwenye Disco sasa sisi hatukutangaza Watalii ni hatari kwenda Kenya

Ah... Labda hayatuhusu... Zanzibar ni Nchi ati? na Inaamua nani ni rafiki yao labda usikanyake Makanisani
 
Lakini huo ndio ukweli, ni hatari kwenda Zanzibar (bila ya kujali kama hata Kenya ni hatari pia)
 
Kwa mara nyingine Kenya imetupiga changa la macho. Wametumia uchomaji wa makanisa Zanzibar kama fursa ya kuwashawishi watalii wasiende Zanzibar ili wabaki Kenya. Ikumbukwe kwamba makanisa yamechomwa Zanzibar wakati ambao magaidi wamelipua mabomu Kenya, lakini hili hawakuliona, na wakasingizia ilikuwa ni hitilafu ya umeme, sio mabomu.

Siku zote nimesema Kenya ni nchi ambayo hatupaswi kuwaamini sana, ukizingatia walikuwa chanzo cha kuvunjika Jumuia ya Afrika Mashariki hapo 1978, na wakasherehekea kuvunjika kwa kunywa champagne waziwazi.

Soma hapa chini.

Wizara ya Maliasili na Utalii juzi ililazimika kutoa tamko la kusahihisha habari za upotoshaji ambazo ziliandikwa na vyombo vya habari vya Kenya na kueleza kuwa Zanzibar kumechafuka na kwa maana hiyo siyo salama kutembelewa na watalii. Hatua hii ni ya kusafisha hali ya hewa ambayo imechafuliwa na vyombo hivyo kwa nia ya ama kuwatisha watalii waliokuwa wanapanga kutembelea visiwa hivyo, au ambao tayari walikuwa njiani kuelekea Zanzibar.

Source: IPPmedia

Naichukia Kenya na Wakenya
 
kenya na zanzibar hali moja......
Kote ni hatari kwenda...........

Hiyo ni kweli tena bora ya kenya zanzibar ni hatari zaidi,
kupinga muungano kwa kuchoma sehemu tukufu si mchezo bana bora wanakochoma maclub!
 
Na nyie tangazeni kuwa Alshabab wako kibao Nairobi wanalipua Migahawa na mahoteli, wala huhitaji kulalama. Ndo biashara ya ushindani hiyo!!!! Unamchafua mwenzio ili anguko lake liwe kubwa!!!!
 
Mimi nawaambia kuwa wakenya katia wakazi wote wa East Africa ni hatari. Mwenzao kala mtu huko Mantoni na habari ni motomoto. Nimeishi Kenya kwa muda kiasi, hawa ni hatari. Hawana upendo wowote kwa kuwa hata kule kwao kuna ubaguzi na ukabila wa kutisha. Sasa kwa hali hii unategemea watakupenda wewe MTZ (ndipo wanavyotuita) au MKORAAA (ndivo wanavyolabel). Sijui ni kwa nini Tanzania inakubali tu kichwa kichwa mambo fulani ya hiyo Jumuiya. Tutaja nyanyaswa na wahindi, wakenya, wasomali, n.k na mwisho wa siku Tanzaniana are gona be slaves in their home country and others like living in exile!!!! Nimeyasema haya leo, kwa watakaokuja kusoma haya miaka ijayo watajua haya nisemayo. Bora tungekuwa na umoja na Burundina Rwanda ili tuwasafirishie bidhaa zao, not Mkenya please!!! Donda ndugu hilo!!
 
Na nyie tangazeni kuwa Alshabab wako kibao Nairobi wanalipua Migahawa na mahoteli, wala huhitaji kulalama. Ndo biashara ya ushindani hiyo!!!! Unamchafua mwenzio ili anguko lake liwe kubwa!!!!

Ha ha ha kwa hiyo tuanze mambo ya kina Nape, Maige, Lowasa, n.ke ha ha ha tehe tehe mkuu wangu. Hatutafika mbali kiasi kabisa. For instance kwa sector ya utalii foreigners are very much scared na usalama kwa angle zote!
 
I don't think you got me right dude. We, Tanzanians are becoming more of Wailers than Entrepreneurs!
 
Muwe mnapitia jukwaa la International Forum, kula mtapata taste ya Wakenya wanavyofikiria watanzania. Kwa Kifupi wameshikilia bango Tanzania iko backwards!

Na kama mtakuwa mnafuatilia, kila kukitokea tatizo Tanzania media za Kenya wako very fast kuutangazia ulimwengu kuwaTanzania si salama! Hili la Zanzibar limetokea wakati wao wanakumbwa na mabomu ya Al-shaabab. Media za Tanzania hazikufanya kazi ya kuutangazia ulimwengu juu wa usalama wa Kenya, lakini wao wameona kufa kufaana. Hawa ndio watu wanataka tuungane. EAC my foot!
 
Kwa mara nyingine Kenya imetupiga changa la macho. Wametumia uchomaji wa makanisa Zanzibar kama fursa ya kuwashawishi watalii wasiende Zanzibar ili wabaki Kenya. Ikumbukwe kwamba makanisa yamechomwa Zanzibar wakati ambao magaidi wamelipua mabomu Kenya, lakini hili hawakuliona, na wakasingizia ilikuwa ni hitilafu ya umeme, sio mabomu.

Siku zote nimesema Kenya ni nchi ambayo hatupaswi kuwaamini sana, ukizingatia walikuwa chanzo cha kuvunjika Jumuia ya Afrika Mashariki hapo 1978, na wakasherehekea kuvunjika kwa kunywa champagne waziwazi.

Soma hapa chini.

Wizara ya Maliasili na Utalii juzi ililazimika kutoa tamko la kusahihisha habari za upotoshaji ambazo ziliandikwa na vyombo vya habari vya Kenya na kueleza kuwa Zanzibar kumechafuka na kwa maana hiyo siyo salama kutembelewa na watalii. Hatua hii ni ya kusafisha hali ya hewa ambayo imechafuliwa na vyombo hivyo kwa nia ya ama kuwatisha watalii waliokuwa wanapanga kutembelea visiwa hivyo, au ambao tayari walikuwa njiani kuelekea Zanzibar.

Source: IPPmedia

wapi source ya kenya
 
mleta mada fahamu kwamba INZI HUTUA KWENYE UCHAFU.
Forget about what they say, CLEAN YOUR HOUSE instead.
Tatizo letu Tanzania MANENO MINGI.
 
Ah Wakenya wadudu, na kama wamo humu mjijue kama ni wadudu, hawana ubinaadam kabisa! Yani unamuona mwenzako anapigwa kabari unampita hata humsaidii! Askari wanakaa wanakula nyama choma wakati wanaona mtu anapigwa shaba, habari hawana! Kuna documentaries za jamaa flani ivi wakikenya kama msomali, wa KTN kama sikosei, ni khatari, ukiona ndo utajiua jinsi gani wakenya walivowanyama! Siwapendi hata kidogo! Wanasema zanzibar hakuna salama, je kwao kukoje? Full mabomu, alqaeda na alshabab si mchezo wanavyoushuhulikia Kenya, hawana ata aibu! Saivi kenya ukipanda basi na msomali bora uchupe utoke magozi, mana mara Alshabbab, na Alshabbab washasema, wataishuhulikia kenya vizuri kama wao walivopeleka majeshi yao kuwapoga alshabbab! To Hell with the KENYANS!! Wizi wakubwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom