Mgongo wa paka
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 485
- 36
Bvc au baraza la vijana cuf(vuguvuvugu la vijana) limepokipongeza kituo cha redio clouds fm kwa kujali kauli zitolewazo na wabunge wa wakiwa katika mijadala ya bunge.jana clouds fm imeripoti habari za mbunge wa cuf bi magdalena sakaya katika kipindi chake cha kumi kali .nakuipa nafasi ya kwanza. Jana mbunge wa cuf magdalena alisema badala ya kuwahamisha vituo wale wote waobainika kufuja mali za umma ni vema wa katandikwa risasi hadharani