Hosni mubarak afungwa jela maisha!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosni mubarak afungwa jela maisha!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malyenge, Jun 2, 2012.

 1. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 2,206
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wakuu yule aliyekuwa rais wa Misri kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30 sasa hivi amehukumiwa kifungo cha maisha jeal.
  chanzo: SKYNEWS.
   
 2. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hivi si mgonjwa yule
   
 3. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,097
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Wa kwetu pia watafuata kwa kuihujumu nchi. Ataanza Ali Hassan Mwinyi, Ben Mkapa kisha Jakaya Kikwete...naamina Dk Slaa hatawaacha mwaka 2015
   
 4. Master jay

  Master jay Senior Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtu dunia yupo nusu, ahera nusu wanamfunga maisha kwa nin?
   
 5. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 3,299
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahaha duh!!!! Na hata Nyerere angekuepo, Slaa asingemwachia....


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dawa ya moto ni petrol yani unawawashia zaidi bd hawa wakwetu
   
 7. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Hasa hawa maraisi wa Tanzania ambao wamehusika katika mauaji ya wananchi wasio na hatia.

  Ni haki kabisa kushitakiwa mahakama ya Kimataifa (ICC)


  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,925
  Likes Received: 1,982
  Trophy Points: 280
  Bado bado bado Mkaa hapa na Jay kei !!!
   
 9. m

  muyombakeneyo Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili ni findisho kwa vikngozi wote walio madarakani wanaotumia madaraka yao vibaya. Mwezi huu ulianza na Chalres Taylor kwa kuhukumiwa miaka hamsini na imetokea tumeshuhudia hukumu ya maisha kwa Hosni Mubarak. Naamini Al Assad (syria) na yeye atapata hukumu ya kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa

  Ni fundisho!
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Daaah bongo bado ipo mbali sana.
   
Loading...