mh Magufuli shughulikia barabara hiii,,,,

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
ninafikiri ni mwaka wa tatu tangu serikali yetu ikabidhiwe barabara ya singida manyoni to igunga,ziba,Nzega mkoani Tabora,katikati ya Sngida na igunga kuna mlima matata unaitwa SEKENKE''hAPO KUNA MAHANDAKI YAkufa mtu'barabar imechimbika sana,inakuwaje kwenye mlima kunakuwa na mashimo hivyo?au hawakijenga katika kiwango? Magari yanaanguka sana sababu ya mashimo,.Mh jitahhidi tusizidi kupoteza ndugu zetu,barabar ifanyiwe ukarabati mkubwa'mifereji ni michafu na imejaa mawe na vifusiKU
 
namin ujumbe muhusika kapata tatizo muda na ahadi huwa haziendi pamoja.nahis selikali imefulia mana watoa matamko hawajui ugumu wa kaz yake
 
Back
Top Bottom