Kwa kasi hii nani wa kuizuia cdm

Chillipo

Member
Mar 27, 2012
37
6
Kwa kasi ambayo Chadema wanakwenda nayo hakuna wa kuwazuia kwan jinsi wananchi wanavyowakubali sijapata kuona kwan wakati wa Operation ya M4C n Vua Gamba vaa Gwanda nilikuwepo Mtwara ndugu wa Kusini wenyewe wamekili haijawahi kutokea wingi wa Watu kama waliokuwepo siku ya Mkutano huu.Nadhan wanapaswa kuunza kujipanga kuongoza Tanganyika yetu kwan hakuna wa kuwazuia katika hili 2015.Kama hadi ndugu zangu wa Wamakonde waikubalii Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzz who will remain?

Source:
Macho na Masikio yangu yaliyobahatika kuudhuria mkutano wa CDM mtwara
 
Tuombe Mungu waikubali hivyo hivyo pia kwenye Masanduku ya Kura.
 
sio wajiandae kuchuka tangangika tu bali Tanzania na wataweza kweli mnadahni utani.
 
Naona jamaa wa Magamba wameanza kukubali kuwa huu siyo upepo wa kupita,bali hii ni
SUNAMI"haipiti na ikipita tayari nyinyiem ishapelekwa kwenye nyumba ya milele"
 
Kwa hiyo siku hizi ukijaza watu ndiyo tiketi ya kuonyesha kwamba unakubalika?.
 
tungoje kampeni za ccm nazo, nilisikia watanzania ni watu wa kukimbilia matukio!
 
kwa kasi ambayo chadema wanakwenda nayo hakuna wa kuwazuia kwan jinsi wananchi wanavyowakubali sijapata kuona kwan wakati wa operation ya m4c n vua gamba vaa gwanda nilikuwepo mtwara ndugu wa kusini wenyewe wamekili haijawahi kutokea wingi wa watu kama waliokuwepo siku ya mkutano huu.nadhan wanapaswa kuunza kujipanga kuongoza tanganyika yetu kwan hakuna wa kuwazuia katika hili 2015.kama hadi ndugu zangu wa wamakonde waikubalii pipozzzzzzzzzzzzzzzzzz who will remain?

Source:
Macho na masikio yangu yaliyobahatika kuudhuria mkutano wa cdm mtwara

nawasihi wanachama au wapenda mabadiliko mjitahidi kuchambua na kutoa taarifa kwa umakini na uthabiti zaidi. Kukusanyika watu wengi kwenye mikutano si dhani ni kipimo tosha kitakachokuonyesha umekubalika. Kwa wtz ninaowajua ni watu waoga, wenye kupenda kufuata makundi kwa ushabiki, wasiopenda kuukubali ukweli na kuuweka kwa vitendo zaidi mineno pa mdomo ni mingi mno na wanatamaa isiyotazama kesho hatma yake. Muhimu wanachama wote wa kweli tuache kukaa kwenye computer na tuungane na wakuu wetu kuleta mabadiliko. Si lazima kusimama majukwaani kuna njia nyingi za kufanya kuhamasisha wananchi kuamka kwa pamoja. Kumbuka ya mrema!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom