Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ameishiwa nguvu, na bila shaka hana pesa ya kulipa Bajaj.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Harambee ya Lowassa yazoa milioni 400 Thursday, 07 June 2012 19:46 James Magai WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu wadhifa huo Edward Lowassa amechangisha kiasi cha Sh.400milioni kutoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mada: Nafasi ya wabunge katika bajeti ijayo nini kifanyike.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Othman Masoud Othman [Mada imetayarishwa na Kuwasilishwa Katika Mkutano Maalum ulioandaliwa na Zanzibar Law Society Kuadhimisha Miaka 41 ya Muungano. Hoteli ya...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani,kuna tatizo lipo katika televisheni ya Taifa takribani wiki mbili,tatizo la kutoonyesha matangazo yao vizuri(kuonyesha chenga chenga flani) je,mafundi mitambo wao hawajaliona ili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Henzi zao haya yalikuwa mwiko rushwa,unyonyaji,kuchanganya biashara na uongozi,kujilimbikizia mali,walisisitiza umoja wa nchi na chama,walipinga ukabila,UDINI,ukanda, ukupe,kutoa nje siri za nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bwana Nape Nnauye anasema eti wanaohamia upinzani hawawapi pressure kwa kauli kwamba hakuna chama cha upinzani kilichoanza bila wanachama kutoka CCM na kinyago wachonge wenyewe halafu kiwatishe...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani dunia imekwisha yaan sasa mpaka kwenye vyombo vya habar sikiliza clouds fm sasa hv
0 Reactions
51 Replies
17K Views
nasikitika kwamba wafanyakazi hapa nchini tunakamuliwa kwelikweli na kodi (PAYE) na wakati huo huo kuna wasanii kibao wanaingiza mapato na hawatozwi kodi hata centi moja zaidi ya kujirusha kila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
WanaJF Judgement na conclusion iliyotolewa jana tarehe 6/6/2012, saa 11:45 na mchambuzi mmoja wapo wa kituo cha REDIO CLOUDS kwenye kipindi cha JAHAZI ilionyesha Dr Mwakyembe kafanya maamuzi ya...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Leo kwenye hangaika zangu za kutwa nzima nikaamua nirudi nyumbani. Mama watoto hakutaka nitoke hivyo basi akaniambia mechi ya Brazil Vs Mexico niiangalizie nyumbani. Nikakaa nyumbani nikiangalia...
12 Reactions
121 Replies
14K Views
CNN imetoa majina ya waandishi wa habari kwa ajili ya CNN Multichoice African Journalist 2012 Finalists. Ukicheki majina hakuna hata Mtanzania mmoja. Wakenya na Waganda wapo wa kumwaga. Pasco vipi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zilizonifikia kutoka India akilikokuwa amepelekwa kwa matibabu zaidi zinasema Daktari huyu wa pale Ocean Road na mmiliki wa Samaritan Dispensary ameaga dunia leo mchana huko India. R.I.P...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Nilikuwa maeneo ya Posta, likaja daladala Mwng~Posta, naul buku. Usiku huu npo Kariakoo, kwenda Ubungo naul buku buku hv Sumatra mpo wap usiku. Au ndo mshatola kazin?
0 Reactions
0 Replies
929 Views
duu, hili gazeti sikufanikiwa kuliona lakini leo nimelibamba, kweli waandishi wa habari bongo kazi bado tunayo...!! hivi MA'MAKE maana yake ni nini jamani!! au mimi naelewa vibaya!!
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari, Nipo nimekwama hapa uhasibu nikitokea porini huko site,nimekuta truck imepinduka na askari wa barabarani wanaendelea na vipimo! Nawasilisha.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MSAADA KWA SADOCK MGHAMBA Ndugu wapendwa tunatafuta ndugu wa Sadock Mgamba ambae anaumwa sana huko Dodoma. Wote tunaomfahamu Sadock tunajuana kama rafiki yetu wa karibu, lakini kwa bahati mbaya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Anazungumzia changamoto mbalimbali jimboni na nchini kwa ujumla na namna ya kupambana nazo. Kaanza na mapato na masuala ya ardhi katika Halmashauri Source Clouds FM Kipindi Jahazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thomas Kashililah na ufisadi wa kutisha bunge Kwa waliosoma ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, naomba wanisaidie katika hili. Nimewahi kulisoma katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…