Heri ya nusu shari ya EL kuliko shari kamili ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heri ya nusu shari ya EL kuliko shari kamili ya JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wagaba, Jun 20, 2012.

 1. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Pamoja na ubaya wote wa EL ktk uongozi wake (JK akihusishwa pia) afadhali mara kumi kuliko hii adha tunayopata kutoka kwa mkuu wa kaya.
  EL ana misimamo yake na mapungufu yake. Lakini ukiwaweka ktk mizani pamoja, mzee wa magogoni amepitwa kwa uzito kwa mbali sana.
  Ukimya wake hata ktk mambo ya msingi kabisa ndo inatisha kupita maelezo.
  Mawaziri wamekuwa na sauti na maamuzi kuliko bosi wao. Mambo yakizidi ndo nae anaamka na kuzidi kuuchanganya umma.
  Ufisadi wa EL upo lakini pia uongozi wake upo makini. Anajua kusimamia na kufuatilia mambo ya msingi.
  Uongozi wa JK una mapungufu yote, Ufisadi kama kawaida na uongozi mbovu!
  Bora angepewa EL (zimwi likujualo....) kuliko JK (no direction, no focus. twacheza bao tu)

  Nawasilisha.
   
Loading...