Ni mmea hatari umeota kwenye Barabara za jiji ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mmea hatari umeota kwenye Barabara za jiji ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ambiente Guru, Jun 20, 2012.

 1. Ambiente Guru

  Ambiente Guru JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 2,275
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Nawaomba wataalamu wa mimea (botanists) na watu wenye kutambua mimea wanitoe hofu kuhusu mmea huu. Umeota katika barabara kuu za Mhesh. J.P. Magufuli ndani ya jiji. Nimevutiwa nao baada ya kukuta watu wanaushangaa, wengine kudhani ni hatari na haupaswi kuota mahali hapo. Wengine inasemekana wanachuma vikonyo na matawi na kutokomea. Inawezekana mbegu zimeletwa na magunia ya nafaka toka kusikojulikana.

  Candid to my Country
   

  Attached Files:

 2. c

  chilubi JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,038
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Si marijuana huo?
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hatari yake nini? tuabarishe
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  duh marijuana barabarani
  hii ni balaa na umekua kiasi hicho aise
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Toka lini ukawa ni hatari?
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,955
  Likes Received: 1,280
  Trophy Points: 280
  Legalise by Luciano
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hahhahaaaaaaaaaaaaaaaa bangeeeeeeeeeee


  kidumu chama cha mpinduzi na mamlaka zake loh...
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  kwani bange ina issue gani!??
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  cha arusha hicho
   
 10. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  they call it....'cannabis papasella'....
   
 11. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mimi ni hivi karibuni tu nimeanza kusikia kwamba bangi ni mbaya, lakini maisha yangu yote ya utotoni kule kwetu kwa "akina kamwene" tulikuwa tunatumia kama mboga za majani nyingine zozote na hatukupata madhara yoyote.
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Wakiukuta mbuzi huo!
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Ganja hiyo.
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  picha haionekani vizuri lakini huu mmea sio ule
   
 15. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ha ha ha....kitu cha arusha hicho mbegu ilidondokea hapo...hiyo mbona kama cannibus sativa a.k.a brain charger?
   
 16. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  cannibus sativa a.k.a brain charger
   
 17. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Atakuwa Wassira ndio kauleta, kule kwetu hauna issue ila yeye ndio huutumia ili asisikie makelele yanayomnyima usingizi mjengoni
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Inanikumbusha jina la producer P FUNK MAJANI!
  Unajua serikali wakiuhalalisha huu mmea then pia Gongo vyote vitakosa mvuto kwa jamii watu wanakomaa bse unapigwa marufuku!
   
 19. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mti hauonekani vizuri, pia haieleweki ni sehemu gani hapo!
   
 20. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Lazima itakuwa imeota barabara ya mhishimiwa mnyika maeneo ya ubungo ndio maana akili zake ziko kama huo mmea wenyewe !
   
Loading...