Nitadili na magazeti ya udaku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitadili na magazeti ya udaku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyukibaby, Jun 19, 2012.

 1. N

  Nyukibaby Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye mama yake wema adai atadili na gazeti lolote litakalo andika habari yoyote ya kumchafulia jina wema sepetu! Akifunguka ndani ya kipindi cha Take One kinacholushwa na clouds tv! amedai amechoka kila cku magazeti kumwandika mwanae kwa iyo gazeti lolote litakalo andika habari yoyote ya kumchafulia jina mwanae yupo radhi kulifikisha mahakamani!
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mwanae Wema kachafuka inabidi kwanza umwogeshe kabla hajaenda kotini
   
 3. B

  Bi. Mkora JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mtoto kwa mama yake hakui.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Huyu mama naye anajitafutia umaarufu kupitia kwa mwanae. Anadhani vitisho vyake vinazua nini? Watu wameshamwagiwa tindikali lakini bado hawakomi tu. Amuonye mwanae, kama kweli ana ni nzuri.
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Shigongo na Global publishers yake hawafai kwenye jamii hii,shigongo ni tajiri anayetengeneza zaidi ya milioni mianane kwa mwaka kwa kuharibu maisha ya watoto wa wenziwe ,Mama wema komaa naye ,ameendelea kuvuna kwenye maisha ya watu kwa sababu hakuna aliyemshitaki na kuhakikisha anafuatilia kesi
  shigongo amezaa na nina imani kuna kitu kitamtokea kwa watoto wake kama wazazi wengine lilivyowatokea
   
Loading...