Imekuwaje tena wale vijana (Machinga) Ubungo?

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Nakumbuka kuna kipindi fulani pale ubungo kulikuwa kweupe ila kuanzia juzi kama sikosei wale jamaa wameanza kuonekana kwenye ile kona ya kwenda mwenge kama unatoka kimara.

Hofu yangu, taratibu wale jamaa watarudi na huu upande wa 'Songas' kama hatua hazitachukuliwa.

Ni mtazamo tu..
 
manispaa iwafukuzilie mbali kabisa, yan hat foleni imepungua hasa upande wa mandela rod kutokea tabata. kama ilikuwa nguvu ya soda wameumbuka
 
manispaa iwafukuzilie mbali kabisa, yan hat foleni imepungua hasa upande wa mandela rod kutokea tabata. kama ilikuwa nguvu ya soda wameumbuka

I see tena kuna jamaa kaniambia tayari wamerudi na upande wa songas.
 
wamerudi kwa nguvu zote. Kama unaovyojua rais dhaifu,Bunge dhaifu, halmashauri dhaifu...kwahiyo uamuzi wowote ule ni dhaifu tuuuu
 
Back
Top Bottom