Baraka kuzidi kumiminika kwa Mzee Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraka kuzidi kumiminika kwa Mzee Mkapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gati, Jun 19, 2012.

 1. g

  gati Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  katika pitapita zangu mjini morogoro nimesikia tetesi kuwa ile taasis iliyopewa majengo ya kilichokuwa chuo cha Tanesco pale Morogoro inapanga kufanya dua maalum ya kumuombea baraka Rais wa awamu ya tatu nd. BWM kwa fadhira zake alizowatendea waislam na kuwawezesha kumiliki chuo kikuu cha kwao wenyewe. Hata hivyo, kunatetesi kuwa bado kunamakundi yanayopinga mpango huo kwa kudai kuwa ilikuwa ni haki ya waislam lupewa kwani ni muda mrefu wamekuwa hawafaidi matunda ya uhuru. Taasis ya MDF inayomiliki chuo hicho ilikuwa inapamga kushusha kisomo hicho siku ya maadhimisho ya miaka nane(-oktoba 24) tangu chuo hicho kilipoanzishwa.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa ni haki yao kupewa bure? mmmh, wana akili kweli hao?
   
 3. m

  mbish Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kwann isiwe haki yao?@ sniper
  baada ya serikali kukitoa chuo cha nyegezi kwa catholics ndio wakaona pia wakitoe chuo hicho kuwa cha kiislamu ambapo awali ilitakiwa kuwa campus ya mzumbe pale mjini, was overnight decision to avoid claims
   
 4. g

  gati Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe wanaogopwa?!
   
 5. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Chuo cha Nyegezi kumbe kilikuwa cha serikali? Katika wajinga wewe ni nambari wani.
   
 6. g

  gati Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe waislam wangezidi kulalamika huenda wangekuwa na vyuo vikuu vingi na wao: mfano; Juzi serikali inegawa iliyokuwa sekondari ya forodhani kwa katoliki, sasa ni sekondary ya mtakatifu yosef, basi waislam nao wangepewa chuo cha bandari ama chuo cha kodi ili kufuatia machozi, na mchezo huu uendelee hivyohivyo ili hatimaye ruwe sawa.
   
Loading...