Mgogoro wa kidini wafukuta habari copraration

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Kuna habari kwamba wafanyakazi wa kampuni ya habari corparation imekumbwa na mgogoro wa kidini baina ya wauminhi wakikiristo na waumini wa dini ya kiislam baada ya wafanyakazi wa kiislam kupinga kuchapishwa tahariri ya gazeti la MTANZANIA inawashambulia kwa maneno ya kejeli viongozi wa kiislam kwa kupinga SENSAn huku muhariri kukataa ushauri wa wafanyakazi hao na kudai yeye ndie mwenye Mamlaka.
Tahariri hiyo iliochambuliwa sana kwenye redio imaani huku sheikh Ponda akimtuhumu Muhariri huyo amekosa busara na anaendekeza UDINI badala ya utaifa
 
Jk ndiye kiranja mkuu wa udini, sasa ni wakati wake wa kuanza kushuhudia madhara ya kile alichokiasisi nchini. Na bado huko tunakokwenda hali itakuwa mbaya zaidi hadi kufikia watu kubebeana silaha.
 
Huo UDINI unaonekana wazi siku hizi, maana gazeti hili limedondokea mikononi mwa CHADEMA!
 
Huo UDINI unaonekana wazi siku hizi, maana gazeti hili limedondokea mikononi mwa CHADEMA!
Mkuu unaweza kuwa sahihi maana muasisi wa udini hapa nchini ni "mwenyekiti wa chadema JK" kwa ajili ya kutimiza matakwa yake ya kisiasa
 
Jk ndiye kiranja mkuu wa udini, sasa ni wakati wake wa kuanza kushuhudia madhara ya kile alichokiasisi nchini. Na bado huko tunakokwenda hali itakuwa mbaya zaidi hadi kufikia watu kubebeana silaha.

JK umepatia mkuu, JULIUS Kambarage Nyerere, ndio alianzisha udini TAnzania, bila aibu, alikaribishwa na waislmu Daresalama, alipopata urais, akasikiliza kanisa na kutekeleza yale ya kanisa, AKAUA UMOJA WA WAISLAMU EAST AFRICA kwa kumtumia Mkapa , baadae akamtunuku Mkapa urais mtoto muadilifu kwa kazi nzuri aloifanya ambayo mpaka leo waislmu wamekuwa wakidharauliwa na kuonewa! JKNyerere
 
Mkuu, naona unajitahidi kupotosha ukweli, JK ninayemzungumzia hapa ni JAKAYA KIKWETE ambaye alitumia udini majukwaani kama mtaji wa kupatia kura za waislam. Matokeo yake sasa udini umeanza kujichomoza kila mahali.
 
=========
JK siyo Nyerere ni rais wa sasa Jakaya Kikwete, ambaye aliweka ktk ilani ya CCM 2005 mambo ya udini, leo hii inamcost. Tena kitendo cha yeye kuufumbia macho wenzake, atajikuta imani ya watz inaporomoka dhidi yake.
 
JK === Julius Kambarage . na kwa taarifa yako alieweka ilani ya CCM sio Jakaya Mrisho Kikwete (JMK) yeye aliikuta wamewaahidi na LAZIMA waitekeleze kama chama kilichopo madarani.
 
=========
JK siyo Nyerere ni rais wa sasa Jakaya Kikwete, ambaye aliweka ktk ilani ya CCM 2005 mambo ya udini, leo hii inamcost. Tena kitendo cha yeye kuufumbia macho wenzake, atajikuta imani ya watz inaporomoka dhidi yake.

Kama imani ya watanzania ilivopomorka kwa padre slaa na chama cha chadema kwa kuwa ni cha kidini. juzi juzi muasisi wenu Mtei alipiga kelele sana kuona wazanzibar wameongeza idadi ya waislamu kwenye kukusanya maoni ya katiba, inashangaza sana nyani haoni kundule
 
tuzibe wa nini? wambie waache dhuluma kwa waislam vinginevyo watajibu kwa gharama kubwa. Udini ulikuwapo tangu ulipohasisiwa na Julius Kambarage Nyerere kwa kuwanyima haki waislam waliomkaribisha kuongoza harakati za uhuru., baada ya uhuru akawatupa pembeni na kuwanyima fursa. Waislam wa enzi hizi sasa wanajua kila kitu kilichofanyika huko nyuma, sasa hawako tayari tena kuona dhuluma inaendelea (Allah amewakataza waislam wasidhulum wala wasikubali kudhulumiwa. Sasa hatukubali tena, iwapo kuna mtu anaitakia mema nchi hii, awaambie wakristu waache dhuluma za kitoto (zilizowazi kabisa)
 
Hivi tunaelekea wapi mda huu?au itakuja kama mambo ya sudan? Maana tuendako siyo pazuri,kwa hali hii nchi itagawanyika mara mbili waislam na wakristu tatizo litakuja je wapagani watakuwa upande gani?
 
Kumbe likiwa chini ya chdema udini hauonekani? Ndo falsafa ya wakiristu kuficha dhamira yao huku wakiendeleza udini lkn waislam hatuna utaratibu wa kuficha, tunakataa waziwazi ikidhihiri kuwa kuna dhuluma. Mlauhumu JKN siyo JKM yote hayo ni matunda ya U-JKN na Kanisa kataroriki Tanzania. Kama hujui kasome kitabu cha padri john sivalon-kanisa katoliki na hatima (siasa) ya tanzania
 
Dhuluma ikizidi kuendelea baada ya kubainika, usishangae kuona sudan inahamia hapa tz. kuepusha hilo ni wakatoliki kufanya uadilifu tu-acheni dhuluma-dunia hii na mamlaka yake vinapita tu
 
Mkuu, naona unajitahidi kupotosha ukweli, JK ninayemzungumzia hapa ni JAKAYA KIKWETE ambaye alitumia udini majukwaani kama mtaji wa kupatia kura za waislam. Matokeo yake sasa udini umeanza kujichomoza kila mahali.

Nina wasiwasi wewe ndio unapotosha, alieanzisha udini ni JK ==== Julius Kambarage na yeye amekufa sasa hivi ametuachia maafa makubwa sana !
 
wenye navyo mtaona ugumu wa kupokonya hasa pale mnapokuwa mnamiliki kwa dhuluma-wasionacho hawana cha kupoteza. Ili tuendelee kuwepo, basi dhuluma iwe mwisho, vinginevyo hakuna njia mbadala isipokuwa kuidai haki
 
Hivi tunaelekea wapi mda huu?au itakuja kama mambo ya sudan? Maana tuendako siyo pazuri,kwa hali hii nchi itagawanyika mara mbili waislam na wakristu tatizo litakuja je wapagani watakuwa upande gani?

Rai yangu JF inaweza kabisa kuepuka hii chuki ya kidini inayoendelea, na kama itazidi kuruhusu hivi basi chuki na sumu ya udini itasambazwa na mwisho wake kuchapana makonde, viboko mpaka risasi, ni wajibu wa MODS wa JF wakiona uzi wowote uliokaa kidini waublock mara moja,

NAdhani dhamira ya JF ni nyingine ila kuna baadahi ya watu hupenda kubeza imani za dini za wenzao hasa wenzetu wakristo, kitu kidogo basi wanarukia kejeli na matusi mpaka ya nguoni ambayo mtu unashindwa kuvumilia unaanza kujibu na kujikuta umo ndani ya majibizano!

Hili halifai na halikubaliki! kitu cha udini kikijalidiliwa nje na kiachwe ! nadhani hili la kujadili humu linazidi kuchochea chuki na mwisho tunaelekea kubaya zaidi...

Nawakilisha!
 
Back
Top Bottom