Jumuia ya Uamsho ina nguvu na Baraka zote za Wazanzibar na Viongozi wao kuvunja Muungano.

Wasemao kuwa Uamsho ni Cuf tu wamecherewa Uamsho inaungwa mkono na Wananchi wote wa Zanzibar kwa lengo la madai ya kuvunja Muungano ambao umekuwa kero kwa Wazanzibar.

Kinacho Fanya hivi sasa nikufungwa Paka Kengele tu ili Panya wacheze.
 
kwani cuf na ccm ni tofauti? kama ccm wanaunga mkono basi na cuf wataungamkono lao moja si ndo maana mukaungana ili Mchome makanisa na hilo kundi lenu la KIGAIDI la UAMSHO wa kuchoma makanisa
 
Back
Top Bottom