Endesha polepole kivuko cha walevi.....!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Endesha polepole kivuko cha walevi.....!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SIMBA WA TARANGA, Jun 20, 2012.

 1. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walevi TZ ndio wachangiaji wakubwa wa pato la Taifa ila wanadharauliwa na kutothaminiwa, kila Mwaka bei ya vilevi huongezeka, bei ya sigara kadharika. Walevi hawalalamiki. Kwa hili natoa ushauri kwa TANROADS na wakandarasi wote wa barabara muweke vibao kwenye vivuko vya walevi. ENDESHA POLEPOLE KIVUKO CHA WALEVI. Haya wanaJF toeni maoni yenu kuainisha vibao vikae wapi mahali unapoishi. Naanza, Tabata Bima pale SWISS PUB...endelezeni..............
   
 2. g

  gati Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na humu JF mod atazame kwa makini post za jioni na wikiendi.....
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kutokana na umuhimu wa WALEVI, Serikali inapaswa kuweka alama za kuvuka, askari trafiki kila sehemu yenye Bar jirani na barabara au sehemu ambayo inatumiwa na walevi kuvuka barabara, ili kuwasaidia kuvuka kiurahisi.

  Na pia madereva wote wawaheshimu walevi kwani ndio wanaosababisha barabara zipate bajeti ya kukarabatiwa.

  Mlevi mmoja akifa au akiugua na kuwa katika dose ya dawa, ni hasara kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, kwani kodi itakosekana.


  Tuanzishe CHAMA cha KUTETEA WALEVI TANZANIA (CHAKWATA) ili kulinda haki yetu.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Serikali inayoendeshwa na Walevi na wafanyakazi
   
Loading...