TAARIFA KWA BARAZA LA WAWAKILISHI JUU YA USAJILI WA MELI ZA NJE ULIOFANYWA NA SMZ KUPITIA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI ZANZIBAR MARITIME AUTHORITY ZMAMhe. Spika,
Tarehe 27/06/2012 Vyombo vya...
Nampongeza sana bondia cheka kwa kuachana na pambano la j'mosi na kaseba.pambano hili lilikuwa nje ya utaratibu wa kawaida wa mchezo wa ngumi.na ikumbukwe cheka ni bingwa wa ngumi katika uzito...
Kila mwanasiasa machachari na sasa awe makini. Deo port jichunge watu wa ludewa wanakuhitaji. Be paranoid and more suspicious don't be vulnerable to culprit fisadis.
Zitto na Halima be more...
Mambo ambayo yamepelekea madaktari kugoma yamejikita katika mfumo mzima wa utoaji huduma za afya katika nchi yetu.
Mfumo wa afya unatakiwa kuwa na nguzo sita ( kwa kadri ya Shirika la Afya...
TAKWIMU zilizokusanywa na kambi ya upinzani katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, zinazonyesha mauaji ya raia wasio na hatia wakiwa mikononi mwa polisi yameendelea kuongezeka.
Matukio...
Si wasikii kabisa na M4C,hatujaambiwa mafanikio ya ziara walizofanya,hawajasema kama ndo mwisho au..najua shughuli zilisimama wakati wa kifo cha mzee BOB MAKANI(R.I.P) Lakini mbona kimya mpaka leo?
TAMKO LA PAMOJA LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI LEO TAREHE 07/07/2012, TRAVERTINE HOTEL, DAR ES SALAAM.
(Viongozi hawa walitoa tamko baada ya kukaa na madaktari, wanaharakati na watu...
Tarehe 25/3/2011 Mfnayakazi wa kampuni ya tanzanite one Cpl Raphael Wisso alishambuliwa na majambazi akiwa kazini kwa BOMU la kutupwa na Mkono na kupoteza mkono na macho yake kama anavyo...
Mwalimu mmoja wa shule ya msingi digodigo jana alikatwakatwa mapanga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake.
Tukio hili limetokea jana majira ya saa 5 asubuhi ambapo mwalimu huyo wa kiume...
kwa wanao jua tu.
On 14 July mercury goes retrograde, be ware of thievies, motor cars breakdown,
computer break down, communication break down, quarrels, conmen, etc.
Right now it is in the Rx...
Mfanyakazi wa Bank kuu Robert Wanga amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti wa ccm kata ya saranga kwa ushindi wa kishindo mno kwenye uchaguzi uliofanyika jana.Hongera sana wanga
Nimatumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku.ndg zangu naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie.wapendwa nina ndugu yangu ana umri...
Nimekuwa nikioanisha muundo wa mikanda ya usalama kwenye magari madogo na ile ya mabasi makubwa ya abiria na kuoana kama ifuatavyoL. Mikanda ya magari madogo (hususani ule wa dereva) inayoanzia...
Huyu shekh napenda michango yake,amekuwa na uwezo wa kufikiri zaidi juu ya watanzania wote bila kujali dini zao.,maana mashekh wengine wanaona ukijadili uthaifu wa serekali.ni kwamba unamjadili...
Kwa taarifa nilizozipata na ku-confirm ni kwamba Majambazi kadhaa wamevamia Calabash na kuumiza watu kwa risasi, ndugu yangu ni mmoja wa watu waliojeruhiwa na sasa tunaelekea Muhimbili. More to...
Hivi mnajiona sawa.Mpaka tv inayoendeshwa kwa kodi zetu tuilipie? Eti airtime ikiisha wanakata mpaka TBC1.Kwahiyo nayenyewe tuite chanel ya kulipia.Kweli hii ni TEKNOBANIA
Habarini wandugu,
kuna stendi imefunguliwa mwanzoni mwa mwezi huu mlandizi kibaha. Nilichoshuhudia ni kila basi la mkoani lazima liingie na kulipa ushuru. Je hii mbona haifanani kama stand ni...