Hii ni barua ya Promotion kweli hivi vikampuni binafsi vina mambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni barua ya Promotion kweli hivi vikampuni binafsi vina mambo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Apr 10, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii ni barua amepewa mtu, anakua promoted kuwa ASSISTANT REGIONAL DIRECTOR, kilichonifanya niiweke hapa hii barua ni vitu vitatu.

  1. huyu mtu alikua akifanya kazi na ana mshahara wa 450,000 kabla ya kodi kwa mwezi (unaweza kuhisi what was her position)

  2. Sababu zilizomfanya huyu bwana ampe promotion huyu dada. . . hahahaaa kweli waajiri binafsi wana matatizo


  RE: PROMOTION


  Reference is made to the above captioned subject.

  We are pleased to inform you, that your position has been upgraded to the Assistant Regional Director with effect from 18[SUP]th [/SUP]August, 2010. The new appointment was announced by the Regional Director who is the appointing authority, having noted that there is need to have someone close to him, who can undertake his responsibilities as a relief or in the event of being away from office.

  Since this is a higher position in the company, you are therefore expected to abide by the code of fidelity and secrecy also you are forbidden to solicit or accept valuable gifts or presents for whatever service you may have rendered in your capacity as Assistant Regional Director.

  This promotion has an effect in your present job description.

  Further, your terms and conditions of your contract of employment including remuneration remain unchanged.
  We hope this change will spur you to work more efficiently and effectively.
  We wish you all the best in your new appointment.
   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Ana haki ya kumpandisha ama kumshusha.

  Kwa vyovyote vile huyo nduguyo potential yake ni hiyo laki nne otherwise angekuwa na vigezo mbona kuna kampuni zinalipa mara 20 ya hiyo.

  Kuwa mjasiria mali si mchezo, achia mbali kuajiri mtu!
   
 3. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  18th aug 2010 hadi april 2012 ..............?
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  yaani huyo mtu alikua officer (not even senior officer) akapandishwa cheo eti kuwa assistant regional director, kwa position hiyo anaambiwa si ruhusa kufanya baadhi ya vitu vimeorodheshwa, lakini badae anaambiwa pamoja na cheo kupanda mshahara wako hautabadilika, to me this was strange!
   
 5. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,804
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Mshauri aache kazi, akaombe kazi ya u-director sehemu nyingine. Mbona makampuni kibao sasahivi, anaweza kwena Voda, tiGO au hata Airtel wakampatia hiyo nafasi na mshahara wa kula mpaka kusaza.
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  nimeishia kucheka aisee, duh, hiyo maana yake utalipwa na mungu!
   
 7. G

  G22 New Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mwajr anaakil? So anataka huyu dada awe chakula cha boss?
   
 8. s

  sparrow Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa mazingira ya kusafiri kt ya boss na assistant ndio yamejengwa hakuna kingine
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  khaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
  Nduguyo kaikubali hiyo promotion? Khaaaaa!!!!!
   
 10. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,361
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Nimeishtukia hiyo janja ya boss kitambi Director... Apelekwe takukuru kwa kuandaa mazingira ya kutaka rushwa ya ngono!
   
 11. m

  missilicious Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kali, this is our country bwanA tutakomaje maskini
   
 12. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Weka picha ya ndugu yako tuone kiwango chake pengine boss amejisogezea karibu, big up Director
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  hahahahaaa
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  duh we kweli mchokozi
   
Loading...