sugu amtuliza lukuvi

Kailanga

Senior Member
Jun 24, 2012
146
33
kwenye kipindi cha bunge waziri lukuvi alihamia upande wanaokaa kambi ya upinzani na kukaa jirani na Sugu, walijadiliana kwa muda mrefu na sehemu kubwa Lukuvi alitulizwa.... bila shaka topic ilitokana na tamko la Sugu kupiga marufuku viongozi kukanyaga Mbeya!
 
hebu tujuze ni lini Sugu amepiga stop viongozi kuja mby??
 
Jana jioni akiwa anachangia wizara ya mambo ya ndani Sugu alisema kuwa"kama haita undwa tume kuchunguza vurugu za wamachinga jijini Mbeya basi wanambeya mjini wataungana kutopokea viongozi wote wa serikali
 
Sugu hana ubavu huo

Kasema nani hana huo ubavu? Hivi hujui kwamba sasa hivi anaonekana ndo rais wa MBY mjini? Mwambie Dk wenu aende MBY na Sugu nae aende Uone nani atapokelewa kwa vifijo! Alichofanya Lukuvi ni sahihi kumuomba asifanye hivyo maana uwezo wa kufanya hivyo anao!!!
 
Mbeya uisikie tu humu humu JF ndio useme Sugu hawezi kuzuia, ila ukienda tu utasema anaweza... Ina maana hamkumbuki alivyozizima zile vurugu za Wamachinga zilizoshindwa kuzimwa na Wanajeshi?
Nendeni Mbeya muone
 
Back
Top Bottom