Vyomba vya Habari kuweni makini

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Taarifa mbalimbali za Habari kupitia Vyombo tulivyonavyo Tanzania. Na Siku hizi angalau ITV huwa wanahabari za Maana kidogo na Star TV kwasasa lakini TBC ambayo ni chombo cha Taifa nilisha kisahau kabisa kwa habari zao kwani huwa hawana habari za maana.

Kilichonifanya niandike leo ni pale ITV kutangaza katika habari kuwa Boti ilizima injini maeneo ya Nungwi na kuokolewa na MV serengeti. Lakini kwenye Headline yao ya Habari inayopita hata sasa hivi imeandikwa hivi '' ABIRIA WAPATA TAARUKI BAADA YA BOTI KUZAMA'' Hichi kichwa cha habari sijui hata waliopitia kama waliona kweli Boti kuzimika injini ndio kuzama. Sasa huu ndio uzembe na upotoshwaji wa habari mbalimbali .

Kuweni makini bwana si kutudanganya najua mpo humu waandishi wa habari na Watangazaji kuweni makini na kazi zenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom