Napenda chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napenda chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ston Merchant, Jul 17, 2012.

 1. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Dah...! Natumia fursa hii kusema kwa sauti kubwa mchana huu kuwa napenda chama changu IMARA CHADEMA...!  Kwa wapenda madiliko hawatajuta ku support CHADEMA..........

  hate t o lv t.......

  nawakilisha
   
 2. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera!!!. Kwa hakika umechagua vema. Utavuna sawa 2015.
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujakosea na wala haya matatizo unayoyaona hutajuta kwasababu hukuharibu kura yako kwani ni makosa makubwa kulaumu hali mbaya ya maisha wakati uliwapa kura sisi ndio tunatakiwa kulaumu hali mbaya kwasababu hatukuwapa hao magamba kwi! kwi! kwi! kwi!
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,120
  Likes Received: 10,470
  Trophy Points: 280
  Umelenga katikati kabisa mkuu..
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  pamaoja sana peoplessssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 6. M

  Magesi JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata sisi pia twaipenda na kuitukuza CHADEMA
   
 7. K

  KISAKA MORIS JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 372
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upo penyewe', penda CDM wewe''
   
 8. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mkuu nipo nyuma yako, ila usigeuke nyuma kunitizam!
   
 9. n

  nang'oro Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema ndo mpango mzima,
  nakipenda sana hiki chama!
   
 10. K

  KAGIMBO MJUNI Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kweli wewe ni mpenda maendeleo lazima ulipende hili chama kubwa la Mabadiliko. pamoja nawe daima CHADEMA
   
 11. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana tunatakiwa kuelimisha vijana,kwa ajili maendeleo ya baadaye M4C DAIMA.
   
Loading...