Je, unamjua mwanafunzi aliyejibu bongo flava kwenye mtihani ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, unamjua mwanafunzi aliyejibu bongo flava kwenye mtihani ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gumzo, Jul 18, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]
  [​IMG]
  Julius Dawson (23) ni jina ambalo linatajwa sana hivi sasa kwenye kila mazungumzo ya wapenda elimu hapa nchini.
  na hii inakuja kufuatia hatua ya kijana huyo kuandika mistari ya Bongo fleva kwenye mitihani yake ya kidato cha nne msimu uliopita.


  Katika mahojiano ya dakika 20 aliyofanya na Mwandishi wetu siku ya Jumapili, Julius alifunguka kinaga ubaga juu ya kilichokuwa moyoni kwake wakati anafanya mtihani huo na pia sababu
  .............

  KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: UNAMJUA MWANAFUNZI ALIYEJIBU BONGO FLAVA KWENYE MTIHANI ?
   
Loading...