Umoja wa Maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umoja wa Maendeleo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpendwa_Ellie, Jul 17, 2012.

 1. M

  Mpendwa_Ellie Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji anzisha Chama cha kijamii katika Kata yangu ambacho hakitakuwa na itikadi yoyote ya kisiasa, jinsia wala rangi ni kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo katika kata yetu. Tatizo nililonalo ni kuwa sijui taratibu za kuzifuata ili kuanzisha huo Umoja wa Maendeleo ya Kata. Naomba kwa yoyote mwenye ufahamu wa jinsi ya kuanzisha na kuendesha Umoja wa maendeleo wa Kata anipe darasa. Thanx in advance.
   
Loading...