yaleyale ya MV Spice...MV seagric haina ofisi wala records za wasafiri

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
watu waliofika bandarini wakitaka kujua taarifa kuhusu ndugu zao waliokuwa safarini leo wameambulia patupu...MV seagric haina ofisi....jamani waTanzania hatujifunzi tu?
 
Back
Top Bottom